Ni kitu kizuri kama kajua kosa na kuomba msamaha.Kwa hilo nampongeza
Hiyo barua ukiikuza ni kama vile imescaniwa alafu ikafanyiwa editing kwenye kwa adobe Photoshop & Adobe Illustrator…………… ila mmmhhhh ayah gaga ngoja tuone
na mimi nahisi hivyo, manake hayo maneno na mpangilio mbona siyo kabisa, havilingani na hadhi yake
Jeshi la kujenga Taifa ndo JWTZ??? sidhani kama atapata msamaha!!!
ndio ni kweli, wewe ulitakaje?? aoneshe jeuri?? hakufunzwa hivyo.