Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple Rule of Thumb... ukiona comment haikuhusu, unaipotezea! Kwahiyo kama unadhani nawe si mmoja wa hao wajinga, ulitakiwa kuipotezea!!
Huyu dogo anasakamwa sana. Aisee
Hahahahahahah...dina mi sitakiiii...cc:mtu fudenge asije akaturukia hapa...watu mafamous humu hatariiiiii....bora mie mnywa uji tu ata mkiniona kidomo changu kimepinda hakuna shidaaaa.... Dinazarde awards za jf jaman zinatolewa wapi mie niendee
Hahahahaaaaa.....hebu hukooo utanivunja mbavu leo...
We vipi? Wa wapi wewe? Ikiwa wote hawaja-mind kwanini wewe ndo uwe ume-mind? Then utakuwa ni mmoja ya hao wajinga... now listen, kama unajifanya fyatu, ufyatu wako huko huko... tafuta watu wa kuwaletea huo ufyatu but don't ever mess with me!Sipotezei hi forum yako next time ukome ku generalize ujinga na ufinyu wa mawazo what a shame we ni Warussia jirekebishe sio kuja hapa na mihemuko yako siwezi potezea eti wajinga kwahyo pamoja na wewe
We vipi? Wa wapi wewe? Ikiwa wote hawaja-mind kwanini wewe ndo uwe ume-mind? Then utakuwa ni mmoja ya hao wajinga... now listen, kama unajifanya fyatu, ufyatu wako huko huko... tafuta watu wa kuwaletea huo ufyatu but don't ever mess with me!
Does it matter?Samahani eti wewe ni me au ke😕😕
Heaven on Earth likes thisSio kweli labda kama hao akina Bob Junior walitaka wawe wanapigwa tag maisha yao yote!!! Kabla hili bifu halijaanza, mwenyewe kwa macho na masikio yangu nilimuona Bob Junior akihojiwa ikiwa Diamond alikuwa anamkumbuka baada ya kumtolea ngoma yake Bob Junior yeye mwenyewe kwa mdomo wake akasema mara kibao dogo akipiga show, lazima amkumbuke Bob Junior sasa labda kama walitaka kumgeuza msukule wao!!! Hili bifu halijaanza zamani sana kwahiyo ni uongo mtupu kudai kwamba alipotoka tu jamaa akawapa kisogo akina Bob Junior. Tumia mfano mdogo tu... Bifu la Ally Kiba na Diamond lilikuja wakati wa Track ta Single Boy ya Ally Kiba... kabla ya hapo walikuwa poa tu! Now tell me, Single Girl imetoka lini na Diamond ametoka lini ndipo utafahamu kwamba hayo maneno ni ya uongo!!
Kuhusu mashabiki kugawanyika, hilo ni jambo la kawaida sana na halizuiliki! Kinachogomba watu ni kufanya fitina kwa mtu ili ashuke na apande wanayemtaka! Yaani kwenye muziki zinaingizwa fitina za kisiasa kama hizo za kufoji barua na kusema ni ya Diamond... mtu unajiuliza, barua ya kwenda JWTZ imefikaje mitandaoni!
Ila ngoja nikuambie jambo moja... unless kama kweli Clouds wanahusika (binafsi siamini hata kidogo) otherwise hakuna mwenye uwezo wa kumshusha Diamond... si kwamba ni mkali sana bali anaongozwa na watu wanaofahamu fitina za muziki wa kibongo! I hate to say this, but trust me, Saidi Fella na Babu Tale ni watu wanaozifahamu fitina za muziki wa bongo kuliko mtu mwingine yoyote yule! Tell me, where's Juma Nature? Ali-mess na Said Fella, na mwisho wake ukawa ndo hapo! Where's the whole stuff called Wanaume Halisi? I know these guys, been wit them in those old days! Wanaume Family chini ya Fella walipigwa sana makopo kwenye ushindani kati yao na wanaume Halisi! Who's the winner hapa tunapoongea? Hawa wapiga kelele kwenye mitandao na majukwaani wala hawana ubavu wa kumsaidia Kiba, kelele zao zitaishia humu humu kama ambavyo kelele zao hazikusaidia kuinusuru Wanaume Halisi...
NItakununulia vitenge vya kukupoza... kumbe yalikuwa yanaku-touch, we si ulijifanya hayaku-touch wala nini!!!!!Nashukuru kwa matusi yako barikiwa sana mara trilion NasDaz
NItakununulia vitenge vya kukupoza... kumbe yalikuwa yanaku-touch, we si ulijifanya hayaku-touch wala nini!!!!!
Kwahiyo unaamini ulichokuwa umefanya wewe ni very right, sio? Hebu tuone tulikotokea... mimi nilianza kwa kuandika open message... haikuwa message ya kum-quote yeyote, bali ilikaa hewani tu:.. message hii hapa---Haya ni touch hata chembe ila ni ujinga na aibu matusi huwa ni kwa unicivilized people ni ujinga na kuzalilisha jukwaa hapa sio sehemu ya matusi
Bi mdada ikakukereketa... mtu unaweza kujiuliza, kilichokuwa kimekuuma wewe ni nini kwenye msg, bado sina jibu... ukaibuka from nowhere, ukaja na message hii hapa:Huu ni mwendelezo tu wa ujinga wa Watanzania... ni Watanzania hawa hawa ambao kutwa kucha walikuwa wakishinda kwenye mitandao Hayati Kanumba kwamba hata hajui Kiingereza baada ya kwenda Jumba la Big Brother! Yaani wao shida yao ni kuona mtu ana-excel, basi ishakuwa tatizo... wanataka kila mtu awe tutusa kama wao! AIBU!
Yaani jinsi ulivyoandika tu hiyo message unaonekana ume-panic, kisa? Sikutaka shari, nikaongea kwa lugha ya kiungwana tu, huyu hapa NasDaz:Acha kuita Watanzania wajinga wewe ona haya sema baadhi unafikiri ni wote wanafuatilia mziki futa hiyo kauli yako mi kuna watu nawafahamu hawafuatiliagi mzigi acha kujumlisha wote sema baadhi
Maajabu, ndo kwanza ukazidi kuripuka, wewe huyu hapa---Simple Rule of Thumb... ukiona comment haikuhusu, unaipotezea! Kwahiyo kama unadhani nawe si mmoja wa hao wajinga, ulitakiwa kuipotezea!!
NIkaona this's too much, nikakupa angalizo, hili hapa:Sipotezei hi forum yako next time ukome ku generalize ujinga na ufinyu wa mawazo what a shame we ni Warussia jirekebishe sio kuja hapa na mihemuko yako siwezi potezea eti wajinga kwahyo pamoja na wewe
Unafahamu ulichojibu... ukaanza kunishambulia zaidi... kwa busara za moderators, wame-delete message yenyewe ambayo ilikuwa chafu zaidi. Na message yako kuwa ya kwanza kuondolewa na Moderators inaonesha wazi wewe ndo wa kwanza kuchafua hewa zaidi... what did you expect? Did you expect me to berg and say, "am sorry madam Diva Beyonce, will you forgive me...?"hahahaa am not that good boy, I was raised and taught to defend myself! All I know about my self is... i ngumu sana kwangu... I repeat, ni ngumu almost to impossible mimi kuanza kumshambulia mtu wakati hajanifanya chochote, but with this evil character, am very impatience mtu akinianza... more often than not, hata mtu akinianza nitamuomba aache... akiendelea; omg... I'll completely be operational under zero tolerance state!! Hata hivyo, bado nakumbuka... ingawaje nilikuwa nimekasirika sana lakini niliku-attack wewe binafsi... cha ajabu, wewe matusi yako ukayaingiza haid kwa mama yangu mzazi kwa ugomvi wa mimi na wewe JF... I don't care about my old sister ambae pia ulimuingiza!!!! What did my old mom who knows nothing about JF did to you? Could it be not enough for you to talk about my big an'us or anything like that hadi ukaamua kuhamishia matusi kwa mama angu? Come on Diva, you may be a sweet girl but you need to behave...We vipi? Wa wapi wewe? Ikiwa wote hawaja-mind kwanini wewe ndo uwe ume-mind? Then utakuwa ni mmoja ya hao wajinga... now listen, kama unajifanya fyatu, ufyatu wako huko huko... tafuta watu wa kuwaletea huo ufyatu but don't ever mess with me!