Barua ya kauli kuchinja waandamanaji inaelekezwa wapi?

Barua ya kauli kuchinja waandamanaji inaelekezwa wapi?

Life2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,387
Reaction score
4,880
Juzi tumesikia vijana wawili wa kikatoliki kuandika barua kwenda wa Papa dhidi ya Msema haki Pd.Dr Kitima guru wa Sheria ndani ya kanisa Katoliki la Mitume.

Vijana wale kutoka Parokia mojawapo sikuwasikia wakiandika barua kwenda kwa Papa wakati Father anashambuliwa na madhulumati.

Vijana wale sikuwasikia wakienda kumpa pole Father Kitima akiwa anajiuguza.

Hili la kuandika barua limekua la ghafla mnoo, ninawatafuta wale vijana niwaambie Watenda kazi na Kanisa kazi yao ni kusema kweli tu na sio konakona kama wanavyotaka wao.

Swali langu ni Je na wale Mashehe waliosema waandamanaji wachinjwe nataka kuandika barua kwenda kwa mkuu wao wa kazi nitumie anuani gani?

Juzi Fr Kitima amekiri maisha yake yapo hatarini je wale mashehe waliotoa zile kauli na wao wanapata tishio lolote la Uhai wao au wanakula tende na halua huku wakisililza kaswida tamu.
 
mkuu wasamehe tu,kuna aina mbalimbali za magonjwa ya akili,ila ugonjwa wa akili wa kiislamu ni mbaya sana
 
Hao ni spika tu washika maiki tunawajua vzr,hii michezo ndio inawaharibia zaidi.
 
Back
Top Bottom