Barua ya kuomba kazi.... Na ahadi za ajira millioni moja

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Posts
1,400
Reaction score
2,010
Oune ni jinsi gani watu walivyochoka na kusaga lapa la kutafuta ajira na huku Ajira hakuna na zinazopatikana undugu naizesheni mwingi. KIKWETE unaona barua hii. Huyu jamaa kaniacha hoi kama tumefikia hatua ya kuanza kufatilia kwenye kampuni nani kafa nani kaacha kazi. JAMANI MAGAMBA TUACHIENI INJI YETU...

 
hii yeneyewe sasa cjui watamwambiaje safari hii coz vacancy ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…