Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Oune ni jinsi gani watu walivyochoka na kusaga lapa la kutafuta ajira na huku Ajira hakuna na zinazopatikana undugu naizesheni mwingi. KIKWETE unaona barua hii. Huyu jamaa kaniacha hoi kama tumefikia hatua ya kuanza kufatilia kwenye kampuni nani kafa nani kaacha kazi. JAMANI MAGAMBA TUACHIENI INJI YETU...

