Barua ya kuomba nafasi nilipitisha kwa mkurugenzi wangu

Barua ya kuomba nafasi nilipitisha kwa mkurugenzi wangu

yusuphkijuu

Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
6
Reaction score
13
Habari wadau,

Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa.

Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha tena au naweza kuitumia ili barua niliyoipitisha awali kama kiambatanisho.
 
Back
Top Bottom