vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 895
- 571
Ndugu wana JF. Naomba kufahamishwa endapo mwalimu ameandika barua kwa ajili ya kuomba uhamisho kwenda mkoa mwingine. Na barua hiyo ikapitishwa na mkurugenzi wake, je akitaka kuipeleka ikasainiwe na mkurugenzi wa mkoa mwingine anastahili kupewa barua yake original au photocopy? Wadau nasubiri majibu yenu.