Barua ya kutoa taarifa ya ajali kwa kampuni za Bima

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,726
Reaction score
3,778
Kama inavyoelezea hapo juu,

Uwe na ama Comprehensive au Third part Insuarance, ama umegonga au umegongwa, kutoa taarifa kwa haraka Kwa Kampuni ya Bima ni jambo la msingi sana.

Mfano wa Barua hiyo, ni kama hii niliyokuambatanishia.

Unaweza kufuatilia jambo lako wewe mwenyewe, au ukatumia ''Insurance Loss Assessors''Kampuni yaliyajiriwa na Bima kukusaidia kufuatilia. Makumpuni hayo yanapatikana kwenye link ifuatayo Loss Adjustors/Assesors | Tanzania Insurance Regulatory Authority.

Nakutakia mapambano mema.
 
Attachments

Sijawahi andika barua..what they need Ni taarifa even kwa simu inatosha, wengine wanamfumo wa online, kingine Ni police inspection report, mchoro, cla form na police report (PF 90) na hivyo viambata vingine.
 
Vyovyote vile, mradi taarifa ifike mapema. Ukichelewa, unapoteza haki yako.
 
Kama inavyoelezea hapo juu,

Uwe na ama Comprehensive au Third part Insuarance, ama umegonga au umegongwa, kutoa taarifa kwa haraka Kwa Kampuni ya Bima ni jambo la msingi sana.

Mfano wa Barua hiyo, ni kama hii niliyokuambatanishia.

Unaweza kufuatilia jambo lako wewe mwenyewe, au ukatumia ''Insurance Loss Assessors''Kampuni yaliyajiriwa na Bima kukusaidia kufuatilia. Makumpuni hayo yanapatikana kwenye link ifuatayo Loss Adjustors/Assesors | Tanzania Insurance Regulatory Authority.

Nakutakia mapambano mema.
Hizo attachments ndo shida. hazipatikani kirahisi, hadi kwa hisanni ya polisi na zingine baada ya kesi kuisha na wewe unasema ndani ya siku saba
inawezekana kweli
 
Ukitoa taarifa ndani ya muda, wao hukupa muda kuzifuatilia. Kama ni kesi hata kama itachukua miaka kadhaa, watakusubiria tu.

So, wahi kutoa taarifa, kisha pambana upate hizo zingine zilizosalia.

Utakuwa salama.

Ukichelewa, umepoteza haki zako.
 
Back
Top Bottom