Vyovyote vile, mradi taarifa ifike mapema. Ukichelewa, unapoteza haki yako.Sijawahi andika barua..what they need Ni taarifa even kwa simu inatosha, wengine wanamfumo wa online, kingine Ni police inspection report, mchoro, cla form na police report (PF 90) na hivyo viambata vingine.
Hizo attachments ndo shida. hazipatikani kirahisi, hadi kwa hisanni ya polisi na zingine baada ya kesi kuisha na wewe unasema ndani ya siku sabaKama inavyoelezea hapo juu,
Uwe na ama Comprehensive au Third part Insuarance, ama umegonga au umegongwa, kutoa taarifa kwa haraka Kwa Kampuni ya Bima ni jambo la msingi sana.
Mfano wa Barua hiyo, ni kama hii niliyokuambatanishia.
Unaweza kufuatilia jambo lako wewe mwenyewe, au ukatumia ''Insurance Loss Assessors''Kampuni yaliyajiriwa na Bima kukusaidia kufuatilia. Makumpuni hayo yanapatikana kwenye link ifuatayo Loss Adjustors/Assesors | Tanzania Insurance Regulatory Authority.
Nakutakia mapambano mema.
Hakuna kinachoshindikana hapoHizo attachments ndo shida. hazipatikani kirahisi, hadi kwa hisanni ya polisi na zingine baada ya kesi kuisha na wewe unasema ndani ya siku saba
inawezekana kweli
Hizo attachments ndo shida. hazipatikani kirahisi, hadi kwa hisanni ya polisi na zingine baada ya kesi kuisha na wewe unasema ndani ya siku saba
inawezekana kweli