NImepokea Barua leo from Loan Board inayonitaka kuanza kulipa mkopo walionipa.Nakumbuka wakati issue ya mkopo inaanzishwa sisi ndo tulikuwa mwaka wa mwisho so ikawa ni favour kwa wote..sio hii ya leo ya kuapply kwa nguvu zote.cha kuuliza hapa si kwanini nilipe no bali ni amount ilivyoainishwa..nimepewa deni nalodaiwa mfano 3,400,000/ ,penalty ...... total ......na wameniwekea na asilimia nayotakiwa kukatwa ni 8% ya mshahara wangu starting this month.
1. Nitakuwa na uhakika gani kwamba hiyo amount ndio nayodaiwa
2. Je penalty ni ya nini while hatukuwekeana time frame
3. Watanipangiaje 8% while hatukuwa na mkataba huo..na watajuaje kama tayari sina makato mengi ya mshahara wangu kiasi cha kuweza kulipa hiyo amount?