Barua ya Loan Board Kuna aliyepata?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
NImepokea Barua leo from Loan Board inayonitaka kuanza kulipa mkopo walionipa.Nakumbuka wakati issue ya mkopo inaanzishwa sisi ndo tulikuwa mwaka wa mwisho so ikawa ni favour kwa wote..sio hii ya leo ya kuapply kwa nguvu zote.cha kuuliza hapa si kwanini nilipe no bali ni amount ilivyoainishwa..nimepewa deni nalodaiwa mfano 3,400,000/ ,penalty ...... total ......na wameniwekea na asilimia nayotakiwa kukatwa ni 8% ya mshahara wangu starting this month.
1. Nitakuwa na uhakika gani kwamba hiyo amount ndio nayodaiwa
2. Je penalty ni ya nini while hatukuwekeana time frame
3. Watanipangiaje 8% while hatukuwa na mkataba huo..na watajuaje kama tayari sina makato mengi ya mshahara wangu kiasi cha kuweza kulipa hiyo amount?
 
Bado sijapata kazi, mm ndio mhanga wa ukosefu wa ajira sasa mkopo nitalipaje?

niache kula nilipe mkopo??
 
  • ukijua umesomeshwa lazima ulipe ni kodi ile mkuu
  • pia ulipaswa kupeleka taarifa zako mkuu ndo mana umelimwa P
  • UPOOOOOOOOOO!,
 
Bado sijapata kazi, mm ndio mhanga wa ukosefu wa ajira sasa mkopo nitalipaje?

niache kula nilipe mkopo??

sasa hapo ndo penalty itakapokuja kubwa pale tu utakapopata wakiamini ulikimbia deni muda wote
 
  • ukijua umesomeshwa lazima ulipe ni kodi ile mkuu
  • pia ulipaswa kupeleka taarifa zako mkuu ndo mana umelimwa P
  • UPOOOOOOOOOO!,
Najua na ndo maana sibishi kulipa,nachopingana nacho ni hizo terms,na how wanibane kwenye % ya kulipa?while kuna wanaolipa elfu 10 tu kwa mwezi...sisi laki how?
 
Sisi tuliyo ktk informal sector hatuna cha kulipa
 
sasa hapo ndo penalty itakapokuja kubwa pale tu utakapopata wakiamini ulikimbia deni muda wote

mm najiajiri kwa sasa, nimekata tamaa ya kupata ajira chini ya serikali ya ccm, km sipati leo sioni kwa nn nipate kesho!
acha nilime na kufuga, na kufanya biashara ninazozijua mimi!
 
Najua na ndo maana sibishi kulipa,nachopingana nacho ni hizo terms,na how wanibane kwenye % ya kulipa?while kuna wanaolipa elfu 10 tu kwa mwezi...sisi laki how?

mkuu lipa bhana kuisaidia vijana wa taifa lako! au no uzalendo!
 
Hivi na waliosomeshwa na serikali hivi kwani ule ni mkopo!!!
 
mkuu lipa bhana kuisaidia vijana wa taifa lako! au no uzalendo!

mmh baba hela ya ghafla ina uzalendo kweli?leo hii kila ct ina budget ndo ghafla uambiwe laki inakatwa..itatoka wapi nawe ubakiwe na ngapi?lazima mshtuko utokee
 
Ili mradi una ajira lipa kwa haraka kuliko hata ulivyopangiwa ili umalizane na huo wajibu.
 
mi nakatwa toka mwaka jana ...kila mwezi zaidi ya laki na nusu...sina hamu nao nimebakiza kama m 3 hivi nataka nizilipe zote nitemane nao
wananimalizia hela zangu
 
Najua na ndo maana sibishi kulipa,nachopingana nacho ni hizo terms,na how wanibane kwenye % ya kulipa?while kuna wanaolipa elfu 10 tu kwa mwezi...sisi laki how?

body inajitengenezea mfumo kama ule wa pay as you earn(PAYE) kwa hiyo kila mtu atamong'onywa kwa wakati na kias chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…