Ma Mshuza
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 207
- 1,122
Kambi ya Fisi
Mimi sijambo. Shikamooni.
Huku Dar joto tu baba na mama. Mambo mengi muda mchache.nashukuru kama mnaniombea ni jambo jema.Nami nawaombea pia.
Huku mjini baba siyo kama huko Kiparang'anda.eti umpate mchumba asikujaribu na wewe umsimjaribu. Mbona unatalia kilio cha mbwa mdomo juu. Huku baba lazima tujaribiane kwanza. Wanaume wengi ndo hivyo siku hizi hawana uanaume.unaweza enda olewa na mtu kumbe naye ndo hihaaaaa...inahuuuu.
Lakini nao hawatuamini wanasema mpaka waangalie kama yanayotakiwa kuwemo yamo. Hivyo baba mpaka mwanamke aje kupata mchumba ashajaribiwa sana. Na wengine wanajaribu hata kuona kama unaweza pata mimba.
Na sisi wanawake tunajaribu kama mwanaume anaweza toa mimba au ndo hivyo tena...kwa hiyo ni mwendo wa majaribio tu kabla ya uchumba.
Nawakumbuka sana sijui wadogo zangu akina chausiku, kidawa na mashaka wanaendeleaje? Kaka mchembe ameacha kunywa yale mapombe yake?maana naye alikuwa ana kera akinywa pale nyumbani ni fujo tu.
Yule bibi aliyekuwa anafuga minyau mingi bado yupo? Jamani siku nyingi toka nimemaliza chuo. Nitakuja baba sijawahasau. Ila ndo hivyo...nikibana miguu tu kama unavyosema...ndo itaishia hivyo hivyo. Lazima tujaribiane kwanza.
Wasalimie sana. Mwambie mama nitamtumia zawadi. Na wewe pia.
Wasalaam.