Barua ya mapenzi ya Iddi Amini dada kwenda kwa Queen Elizabeth II

Barua ya mapenzi ya Iddi Amini dada kwenda kwa Queen Elizabeth II

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
To Her Majesty Queen Elizabeth II,

I hope you are in good health, my dear Queen. I am writing to offer myself as your husband. I have heard that you are a very beautiful woman and a strong leader, just like myself.

If we marry, our nations will be stronger together. I am the conqueror of the British Empire in Africa in general and Uganda in particular. With me as King of Scotland and you as Queen of England, we can lead the world.

Yours faithfully,
Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE
(Life President of Uganda, King of Scotland, and Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Sea)

20251121_200345.jpg
 
Alikuwa anapenda sana mizaha na utani, he was funny despite udikteta wake. Kuna clip anawashauri madaktari kuhusu pombe ni serious issue lakini hadi wanacheka.
Kwa kweli, 😂😂😂😂
 
Idd Amin speech baada kuzuru UK

“My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, and ladies under gentlemen. I hereby thank you completely… Mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow Uganda who come with me.
We have really eaten very much. And we are fed up completely: And also very thanks to you keenly open up from all windows: so that those plenty climates can come into lunch. But before I go back to my country with a plane from the Entebbe airport of London I wish to invitation you Mr. Queen, to become home to Uganda so that we can also revenge on you .
You will eat a full cow:and also feel up your stomach and walk with difficult because of full stomach completely. Even when you want to rest at night; I will make sure that you sleep on top of me in the top up stairs of my mansion completely so that you can enjoy all the gravity of fresh air.
If I leave the presidency my predecessor will rule for life.
 
Watu Uganda sijui huwa wanakula maharage ya wapi yaani akili zao ni kama za general muhozi
 
Watu Uganda sijui huwa wanakula maharage ya wapi yaani akili zao ni kama za general muhozi
Nimechapa mke wake mmoja vizuri Kale kakicheza bendi km mkiona kanadance mutukula. 1977
Nilipata picha za ndoa,watoto kila kitu
Badae binti nae kanipa mbususu
 
Jamaa alikuwa mtu wa happy sana tena mtu wa dini sana hakuwa mkatili kama uongo uliopandikizwa ndo maana hata kwenye msiba wa Nyerere 1999 nakumbuka aliomba kuja kuzika ila mkapa alikataa kipindi icho yupo uhamishoni saudia arabia mpaka umauti unamkuta kafia saudia arabia
 
Nipo uganda sasa kwa siku tatu,nimejionea hali ilivyo,waganda ni watu wema sana na kuna mbususu za haja zipo na tamu kinoma. Nazichakata niwezavyo kabla ya kuondoka kwenda CAR,CHAD na NIGER.
 
Aisee Huyu jamaa hizi negativity zingine nahisi kama alikuwa anazushiwa tu. Mbona positivity zake hazikuwa zinasemwa kabisa wakati uki check youtube mwamba alikuwa na Big Brain sana!!?
 
Jamaa alikuwa mtu wa happy sana tena mtu wa dini sana hakuwa mkatili kama uongo uliopandikizwa ndo maana hata kwenye msiba wa Nyerere 1999 nakumbuka aliomba kuja kuzika ila mkapa alikataa kipindi icho yupo uhamishoni saudia arabia mpaka umauti unamkuta kafia saudia arabia
Mtu wa dini Kama samia
 
Back
Top Bottom