Wapoze kidogo hao!Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.
Kama kuna mtu yuko na sample ya barua ya mualiko anisaidie nipate niweze kuedit kwa ajili ya kuitumia.
Barua ya mwaliko haipo katika document zinazohitajika. Au kauona mlugaluga sana?Ni passport mkuu
Mwenyewe amenichanganyaTangu lini hayo mambo? Au unaomba VISA? Komaa passport ni haki yako
watumishi wa kitanzania ni mafala sana wanaudhi, kama vile mtanzania kuwa na passport ni anasaPassport si haki ya kila mtanzania??
Kwann kuna vikwazo??
Sababu ya safari ni moja ya mahitajiBarua ya mwaliko haipo katika document zinazohitajika. Au kauona mlugaluga sana?
Ndugu yangu hao wanataka cha juu hio lugha bado haujaielewa ?Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea.
Kama kuna mtu yuko na sample ya barua ya mualiko anisaidie nipate niweze kuedit kwa ajili ya kuitumia.