Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kiasi gani cha mpunga kinakuruhusu kutambuloka kama mtalii anayetaka kwenda kutalii Zimbabwe??Utaombwa bank statement waone mpunga upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiasi gani cha mpunga kinakuruhusu kutambuloka kama mtalii anayetaka kwenda kutalii Zimbabwe??Utaombwa bank statement waone mpunga upo
Mbona wapo wengi sana watakaokuwa wanaudhuria hiyo mikutano au nikutajie baadhiKimeumana.
Unataka uende ulaya mikutano ya Chadema unataka umuachie nani?
Tupo 😂😂Mbona wapo wengi sana watakaokuwa wanaudhuria hiyo mikutano au nikutajie baadhi
JokaKuu, Tindo, Joh Doe , Erythrocyte johnthebaptist, @Figanigga @Cutewife na wengine wengi tu.
Imekuwa visa? Uhamiaji wana mambo ya ajabu sana. Ukiritimba tu ili wakuchomoe.Swali lilikuwa unamtu unakoenda kufikia nikasema ndio, mjamaa akasema basi tuletee barua ya mwaliko na picha ya passport yake ili tuambatanishe
Hii nchi ngumu sana. Una kitambulisho cha taifa ambacho ulikipata kwa kutumia cheti cha kuzaliwa etc lakini ukiomba passport bado wanahitaji cheti sijui cha mzazi. Halafu inapo expire unatakiwa tena kupeleka hayo madocument. Shida sqna.Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa wako
Cheti cha Kuzaliwa Mwombaji
Cheti/Kiapo cha Kuzaliwa Mzazi wa Mwombaji
Kitambulisho cha Taifa
Picha ya Mwombaji ya hivi karibuni yenye kivuli cha rangi ya buluu isiyokoza (Light blue Background)
Ada 150000.
Ushahidi wa Safari- hii ndio iliyomfanya aombwe mwaliko au kama ni safari ya masomo admission letter
Nilikuwa namtoa wasi wasi jamaa hapo kwamba wapigania haki hawawezi wakaisha hata wengine tukiondoka mtaendelea kuwepoTupo 😂😂
Huwa nashindwa kuelewa kabisa kitambulisho Cha taifa(NIDA) kina umuhimu gani hasa kama unaweza kuwa nacho, lakin ukienda kuomba passport Bado wanahitaji taarifa zako zile zile ambazo walikuomba wakati unafuatilia kitambulisho Cha taifa.Hii nchi ngumu sana. Una kitambulisho cha taifa ambacho ulikipata kwa kutumia cheti cha kuzaliwa etc lakini ukiomba passport bado wanahitaji cheti sijui cha mzazi. Halafu inapo expire unatakiwa tena kupeleka hayo madocument. Shida sqna.
Hapana haiwi na jina la nchi yeyote vinginevyo hiyo ni hati ya safari ya dharura (emergency travel document). Kama wadau wengi walivyokushauri ni kwamba ulitakiwa kuuliza kwa wazoefu ili ujue jinsi ya kujibu maswali yao.Ivi pasipoti inakuwa na Jina la Nchi unayotaka kwenda na je kama nataka pasipoti tu niwe nayo kabla sijafikilia nchi ya kwenda inakuwaje??
Mifumo haisomaniHii nchi ngumu sana. Una kitambulisho cha taifa ambacho ulikipata kwa kutumia cheti cha kuzaliwa etc lakini ukiomba passport bado wanahitaji cheti sijui cha mzazi. Halafu inapo expire unatakiwa tena kupeleka hayo madocument. Shida sqna.
Mimi nilikamilisha mahitaji yao ya kuomba pass, ilikuwa mwezi 8 wakaniambia watanipigia nitulie tu😀😀 Hadi leo na Mimi sawasubiri tuKwanini lakini Inakuwa hivyo??
Mbona Rwanda hapo hawana mashariti ya kijinga kiasi gani?? Ni lini hili taifa litaanza kwenda sawa na ulimwengu?
Ulaya pacha umekuwa shida, haya hata passport nayo kupata mnaweka mashariti magumu na ya kipuuzi hivi? Daah
Vitabu vilikuwa havipo Ila sasa vimepatikana. Nenda kachekiMimi nilikamilisha mahitaji yao ya kuomba pass, ilikuwa mwezi 8 wakaniambia watanipigia nitulie tu😀😀 Hadi leo na Mimi sawasubiri tu
Ukisema hivyo si wanaweza wakakupa ile muda mfupi tu inayotumika kusafiri nchi jirani tu basi?Siku nyingine nenda waambie unaenda Zambia kwa Mganga
Wanakupa bila shida
Nyie mnasemaga manchi makubwa makubwa 😂😂
Yaani. Ukiritimba tu. Mimi huwa napata kwa siku 2 au ikizidi siku 5.Mimi nilikamilisha mahitaji yao ya kuomba pass, ilikuwa mwezi 8 wakaniambia watanipigia nitulie tu😀😀 Hadi leo na Mimi sawasubiri tu
SawaVitabu vilikuwa havipo Ila sasa vimepatikana. Nenda kacheki
Hapana utapewa kitabu halisi.Ukisema hivyo si wanaweza wakakupa ile muda mfupi tu inayotumika kusafiri nchi jirani tu basi?