Barua ya mwaliko wa kusafiri ughaibuni

Barua ya mwaliko wa kusafiri ughaibuni

Habali wakuu,

Dada yangu wa kufahamiana, yeye anataka kwenda kuishi nje yani USA lakini amekosa visa hapa Bongo.

Kwahiyo atakayependa kumsaidia hata ampe mwaliko ili aombe visa. Kuhusu pesa ya nahuri na visa anayo ila mwaliko ndo hana kwahyo naombeni ndugu zangu msaidieni sister huyu aje huko akatafute life.
Kwa vile anayo nahuri ni jambo zuri
 
Habali wakuu,

Dada yangu wa kufahamiana, yeye anataka kwenda kuishi nje yani USA lakini amekosa visa hapa Bongo.

Kwahiyo atakayependa kumsaidia hata ampe mwaliko ili aombe visa. Kuhusu pesa ya nahuri na visa anayo ila mwaliko ndo hana kwahyo naombeni ndugu zangu msaidieni sister huyu aje huko akatafute life.
Nenda kwa Dnyota utube amtafute atapata mwaliko lakin kuna garama unalipia. Kupitia dnyota wengi nimewa direct wamefanikiwa wako zao majuu
 
Back
Top Bottom