Barua ya TFF kuomba miaka 12 ya uongozi BMT yanaswa, Karia na genge lake wakumbuka shuka kumeshakucha

Yule wakili wa TFF anayetaka alipwe bilioni 2 za kuchafuliwa, (character assassination), anaitwa nani vile?

Kimeumana! Wakili Kibamba ataka kulipwa Bilion 2 kwa mawakili waliomchafua sakata la uchaguzi wa TFF​

 
Kwani Karia anajikuta ni nani hasa kwamba ndio awe kiongozi pekee wa TFF?

Karia ana itikadi za CCM kung'ang'ania madaraka.
Acha kusingizia CCM kuhusu kung'ang'ania madaraka, viongozi wote wa upinzani ndio ving'ang'anizi akiwemo Mbowe, Rungwe, nk.
 
Nani anishawishi hawa watu wana nia ya kuukomboa mpira wa bongo na sio kwa maslahi yao? Hizi harakati mpaka kutaka kubadili ratiba sio burebure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…