vamda JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 895 Reaction score 571 Nov 26, 2013 #1 Naomba kufahamishwa endapo barua ya uhamisho kutoka mkoa 1 kwenda mkoa mwingine ikipotea mkoani kwa mtumishi, hatua gani mtumishi anazotakiwa kuchukua pale mkoani ilikopotea?
Naomba kufahamishwa endapo barua ya uhamisho kutoka mkoa 1 kwenda mkoa mwingine ikipotea mkoani kwa mtumishi, hatua gani mtumishi anazotakiwa kuchukua pale mkoani ilikopotea?
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Nov 27, 2013 #2 rudi wilayani kwa DEO au DED au Hata kwenye faili lako shuleni kama wewe ni mwalim kachukue kopi yake uwapelekee au ulikuwa huwek kopi zake?
rudi wilayani kwa DEO au DED au Hata kwenye faili lako shuleni kama wewe ni mwalim kachukue kopi yake uwapelekee au ulikuwa huwek kopi zake?
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 458 Nov 27, 2013 #3 irumba1 said: rudi wilayani kwa DEO au DED au Hata kwenye faili lako shuleni kama wewe ni mwalim kachukue kopi yake uwapelekee au ulikuwa huwek kopi zake? Click to expand... Uko sahihi,na kuna jamaa alipoteza ya kwake akaomba kopi mkoani akapewa,lakini case yake ilikuwa ni uhamisho wa ndani ya mkoa kwa RAS
irumba1 said: rudi wilayani kwa DEO au DED au Hata kwenye faili lako shuleni kama wewe ni mwalim kachukue kopi yake uwapelekee au ulikuwa huwek kopi zake? Click to expand... Uko sahihi,na kuna jamaa alipoteza ya kwake akaomba kopi mkoani akapewa,lakini case yake ilikuwa ni uhamisho wa ndani ya mkoa kwa RAS