Barua ya uhamisho ikipotea mtumishi afanyeje?

Barua ya uhamisho ikipotea mtumishi afanyeje?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
895
Reaction score
571
Naomba kufahamishwa endapo barua ya uhamisho kutoka mkoa 1 kwenda mkoa mwingine ikipotea mkoani kwa mtumishi, hatua gani mtumishi anazotakiwa kuchukua pale mkoani ilikopotea?
 
rudi wilayani kwa DEO au DED au Hata kwenye faili lako shuleni kama wewe ni mwalim kachukue kopi yake uwapelekee au ulikuwa huwek kopi zake?
 
rudi wilayani kwa DEO au DED au Hata kwenye faili lako shuleni kama wewe ni mwalim kachukue kopi yake uwapelekee au ulikuwa huwek kopi zake?

Uko sahihi,na kuna jamaa alipoteza ya kwake akaomba kopi mkoani akapewa,lakini case yake ilikuwa ni uhamisho wa ndani ya mkoa kwa RAS
 
Back
Top Bottom