Barua ya Wazanzibari waishio UK, US kwa Amnesty


Yakiwafika nyie mnasema serikali ya CCM inawaonea na haina utawala wa sheria. Ila yakiwafika wengine mnakubaliana na kila propaganda inayotolewa na hao hao! Kweli, lakini tutafika tu. Mtaua wengi mpaka kufika 2015 kwa mtindo huu!
 

zanzibar sio shwari kama unavofikiria.mpemba ni kiumbe kilichopewa akili nyingi katika nyanja tofauti za maisha.mfano.kisiasa na watu wamwanzo walioyaona maovu ya ccm tanzania ndo maana hadi mda huu ccm haina jimbo ndani ya pemba.kiuchumi,wapemba ni wafanyabiashara mashuhur tanzania kiasi ya kwamba kila ncha ya tanzania na dunia yupo tofauti na watu wengine,ushahidi anafanya biashara unguja,dar es salaam,kilimanjaro,mwanza na mikoa mengine na kwao pemba pia yupo.kijamii,mpemba ni mtu aliye na influence kubwa ndo maana na anaependa mabadikiko kwa watu wote na anapoamua kufanya anafanya.mfano.hata mpemba ndo mtu pekee tanzania aliyewasilisha barua un kwa kutaka kujitenga sababu yakujitenga wapemba ni wapinza hali iliyopelekea pemba kukoseshwa huduma za jamii,ajira mpemba hupewi,hata haki za msingi unakoseshwa sababu ni mpemba.barua iliyopelekwa ammnesty international sina uhakika kama ni mpemba lakini mpemba pia anao uwezo wakufanya hivyo kutokana na kipaji alichopewa.mwisho kabisa.kwa uwezo aliopewa mpemba ninaimani sheikh farid atatoka karibuni.hawo ni wapemba.wewe jee?wacha maneno lete facts kama unazo
 
Yakiwafika nyie mnasema serikali ya CCM inawaonea na haina utawala wa sheria. Ila yakiwafika wengine mnakubaliana na kila propaganda inayotolewa na hao hao! Kweli, lakini tutafika tu. Mtaua wengi mpaka kufika 2015 kwa mtindo huu!

Wanajf wengi siwaelewi.polisi hao hao wakiua raia zanzibar hawana makosa lakini wakiua bara polisi wamakosa.kama namna gani vp kwa pamoja tusemeni polisi hawana makosa tuwaachie watumalize.
 
Wanajf wengi siwaelewi.polisi hao hao wakiua raia zanzibar hawana makosa lakini wakiua bara polisi wamakosa.kama namna gani vp kwa pamoja tusemeni polisi hawana makosa tuwaachie watumalize.

Hawa jamaa sio kwamba hawajui. Ni wadini tu basi. Ikitokea issue inahusu muislamu wote huwa kitu kimoja hata kama haki imepindishwa. Ajenda yao ni moja angalia hoja zote ambazo zimeshawahi kuletwa humu JF you will agree with me. Jamii inabidi ibadilike, huwezi kujenga jamii nzuri kwa ubaguzi uwe wa kikabila au kidini. Pale penye ukweli inabidi uuseme hata kama unayemtetea yuko tofauti na imani au kabila lako. Ikiwa kweli unaunda tume kuchunguza kifo cha 'MBWA', hivi kweli kuna justification yoyote ya kupinga kuunda tume kwa walio uliwa Mwembe chai?

Na wote hawa walikaa kimya, simply kwa vile waliokufa pale walikuwa waislamu. Tukisema kuna udini TZ, tunamaanisha upo na wanaouficha ni wakristo ndio maana wanakuwa wa kwanza kusema haupo na hawataki watu waujadili.

Lakini kama haya mambo yataendelea hivvi, tunaanda shari kubwa huko mbele ambayo haitamnufaisha yeyote miongoni mwetu awe mkristo au mwislamu. Tubadilike.
 
Hao wlioandikiwa kwa taarifa yako ndio hawataki kabisa kusikia Zanzibar inaingia mikononi mwa Waarabu na hao magaidi -UAMSHO. So ni bora barua hii ingepelekwa kwa Umoja wa nchi ya kiaarabu mtasaidiwa .Huko mlikopeleka watawacheka tu bila kuwapa majibu.
 
heh!
uamsho walikuwa wana-observe the elections...????

uamsho wamejenga wapi hizo shule eti kutoa elimu kwa wazanzibar....???

peace demostrations???? mbona hawakusema kama walichoma makanisa na kumchinja askari polisi..????

 

Ami utakuwa una wazimu sio bure. Hayo maduka ya SANDA, UBANI MASHTAKA, UDI, MARASH MUJE, MAYAI VIZA, NAZI MBOVU, MAJI MAITI, VYUNGU KAFRA, KUNGU na vitu vingine vya kufanyia ushirikina ndio unajitapa ya kuwa mu wafanyibiashara wakubwa mikoani?

Biashara hiyo mnafanya nyinyi kwa kuwa hamna mtu mwingine mwenye kufanya mambo ya kishirikina hadharani. Vinginevyo kingine mnachoweza ni kuuza genge na juice ambayo utengenezaji wake ni katika hali ya uchafu uliokithiri. Wewe kama unataka kuona kabila lililotapakaa nchi nzima likifanya biashara watazame wachaga, japo huko kwenu mnachoma moto mali zao.

CCM kutokuwa na jimbo sio jambo la kushabikia kwa kuwa hiyo ni dalili mbaya kwenu. Sasa hivi mnamimina chokochoko za kutaka kuigawa nchi, lkn kabla hata haijafanikiwa tayari mnaigawa Zanzibar yenyewe. Laana inaanza kuwatafuna kabla hata kufuru yenu haijatamkika hadharani.

Ungeniambia mna kipaji cha kuzaa watoto wakapishana miezi 7'7 nitakuelewa. Mpemba mmoja ana watoto wanapangana kama ngazi kazi kuichafua Ilala kwa kurundikana mia moja katika nyumba yenye uwezo wa kuchukua watu 8.

Njoo Tarime na majigambo ya namna hii uone kama hatukukukimbiza mbio kali mpaka ukasau busha lako banarini likaletwa na boti ya jioni. Sisi kule hatuhitaji ubani wala udi na mayai viza tunayo kazi ni kuwapigia viongozi wa kisiasa wakiongea ujinga majukwaani
 

Kulia sana hakumaanishi wewe ndio mwenye haki. Suala la Uislam linatoka wapi ikiwa hata hiyo serikali inayowashikisha adabu ni Waislamu wenzenu?

Wakati Makanisa yakivunjwa hamkuwa mkikemea, ila leo mnataka wengine wawe watetezi wenu kwa udhalimu wenu kana kwamba ulifanywa kwa manufaa ya Taifa.

Siku zote angalia haya mambo yanayowagharimu huwa yanaanzaje, upuuzi. Hivi mnawezaje kuamka kudai haki mnayoinyima kwa wengine. Gerezani wako UAMSHO peke yao? Kwanza ********* nyie mna bahati watu wako bize na mambo ya maendeleo. Umekaa mtandaoni tangu juzi unalalamika tuuu utafikiri kuna mtu aliwatuma mkachome makanisa na kufanya shughuli zisizowahusu.

Kama wewe udini unakukera basi harakati za kuidai Zanzibar usingeshabikia zifanyike msikitini. Kwani huko Zanzibar wapo Waislam peke yao? UAMSHO ni kikundi cha ugaidi, full stop!
 

Mkubwa hapa kuna tatizo na hili tatizo ni kutogundua haswa Uamsho ni nani na wapo kwa faida ya nani, na hata pia tatizo jingine ni kuwa na false notion ambayo inawasumbua sana waumini wa kiislam today kwa kufikiria wanaonewa tuuuu, hata kama sheria zinafuata mkondo wake basi still wanaonewa tuu. Swali langu la kukuuliza Uamsho ni nani haswa na ilianzishwa kwa malengo gani hukulijibu!.
 
Mlio wengi tanzania mnaangalia haki in tems of dini iwapo hao maaskofu na serikali hawazungumzi UBAYAUBAYA, JANJAWIRI, MBWAMKALI na vikundi vya uharifu kibao ambavyo vinaendesha uarifu, kama nyie waadilifu fanyeni utafiti wa kina, mbona mnafumbia macho matendo maovu yote yanayofanywa na serikali na washirika wake, jambo usilolijuwa usilizungumzie. Kama zanziar ni Kidogodogo na hakina umuhimu aliyeomba muungano kati NYERERE NA KARUME ninani, kwanini? WACHENI KUCHONGA MANENO CHONGENI FANICH Mjaze majumbani mwenu !
 

Aiseee!!! Asante kwa ufafanuzi. Kumbe ni chombo chenye malengo mazuri. Sasa kwenye hii dunia ambapo kila kona kuna maonezi hiyo Amnest imemsaidia nani kwa mfano?
 
Hizo zote wazanzibari ni dua za kuku. Mpaka mumjue adui yenu ndio mtaamua sawa sawa. otherwise U r already perished.
 
these stupid refuges , hawa wazanzibar wajinga ambao hawajui kinachoendelea kwenye visiwa walivyovikimbia na kwenda kubangaiza kwenye nchi za watu hamna lolote.Mnatetea kitu gani nyie mafirauni.
Uhamsho nani asiyejua kuwa ni genge la mabaki ya waarabu ambao wanaleta fujo ya kutaka kuvunja nchi. Msituletee siasa za kiwendawazimu. Haki gani wanayo mpaka waende gerezani na midevu yao, nani kasema kufuga midevu ni dini, nani asiyejua kuwa midevu ni kumwigiza Osama.Mtu akiwa na muonekano na kushabikia sheitwani naye ni sheitwani.
Kwani gerezani ni saloon au shelaton . wacha wakanyee debe
Huwezi kumtetea Farid na wenzani ni wavunja nchi lazima wabinywe hata wafungwe jiwe shingoni watumbukizwe kama Osama. Wana huruma gani na watu zaidi ya milion wa asili ya Zanzibar wanaoishi bara , unadhani nchi ikivunjika si kulia na kusaga meno , je hilo wanalijua ?
Mtu mwenye akili nzuri hawezi kuwatetea hawa ibilisi
 

1) Ibilisi anajulikana kwa maneno na matendo yake. Sijui vitendo lakini maneno yako yanaonesha kuwa katika maiblis na wewe umo.

2) Kama hujui firauni na wendawazimu wana tabia na maneno kama yako. Huwa hawajadili hoja kazi yao ni matusi tu.

3) Wazanzibari wanaoishi bara huwezi kuwafanya chochote acha kutishia watu wazima nyau. Kwani wamefanya kosa gani?

4) Usimwite 'YESU' sheitwani kwa sababu na yeye alikuwa na midevu kuliko ya 'Osama'. Huo ni uhuru wa mtu binafsi, wale wanaofuga rasta utawaita nani?

5) Faridi atatetewa kamba ambavyo watu wameshafanya, huwezi kusikilizwa mtu ambaye hata kutumia maji hujui!
 

UAMSHO ilianzishwa kwa malengo sawa na ya kanisa katoliki na baraza la maaskofu.
 

1) Suala la uislamu linatoka wapi jibu lake angalia posts zote zilizopita
2) Udhalimu wenu mbona unatetewa na wengine? Ach na wengine watetewa na wenye kutetea
3) Hii ndio kazi yangu sasa unategemea nikafanyie kazi wapi? Wewe mwenye kazi una maandeleo gani? Hebu yataje? Inawezekana ukawa sawa na mimi nisiye kuwa na kazi!
4) Harakati za kuidai ZNZ zitafanyika kila pahali ambapo kuna raia wa ZNZ hata misikitini ikibidi. Kwani hata nyie si huwa mnafanya hivyo kanisani? Kama ulo mwongozo wa maaskofu. Ulikuwa unafanyikia wapi ule 2010, jangwani? Au ndio nyani haoni...!?

5) Kama magaidi hawastahili kutendewa haki, mbona jumuiya ya kimataifa ilitaka Gwantanamo ivunjwe na baadhi ya wafungwa wametolewa na kesi zao kusikilizwa katika mahakama za kiraia? Full stop!
 
UAMSHO ilianzishwa kwa malengo sawa na ya kanisa katoliki na baraza la maaskofu.

Bayana upo? habari ya saa hizi! naona sasa kuna baadha ya mambo tunakwenda sawa kdg, nafarijika!
 
UAMSHO ilianzishwa kwa malengo sawa na ya kanisa katoliki na baraza la maaskofu.

Kwa hiyo kumbe Uamsho imejikita kama chombo cha dini kinachosimamia waislamu kwa manufaa ya waumini wa dini sio! na kwa hivyo kama kuna madai yenye maana ambayo wao kama wawakilishi wa dini wanataka wasikilizwe ni kwa nini wasifuate utaratibu wa madai yao, badala ya ku force vitu na kufikia kuhatarisha amani kwa jamii. Na pia sasa kuna contradictions hapa kwa maana Uamsho pia wanasema wao ni kama wapigania uhuru na hawahusiki na dini ila tu kutokana na nature na Zanzibar kuwa na waumini wengi wa kiislamu ndio inatokea kuwa wao wengi ni waislamu.

Great thinker i am not condoning any tortures against inmates ila kutokana na hali za cells zetu Africa na kama treatments zinafanywa kwa inmates wengine wa kawaida basi kwa nini na wao wasiexperience the same struggle? hauoni kuwa unasupport au kutetea maafa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…