Barua ya Wazanzibari waishio UK, US kwa Amnesty

Barua ya Wazanzibari waishio UK, US kwa Amnesty

TZ ni member wa Amnesty International lakini sio member wa OIC. Therefore, kama watanzania, wanayo haki ya kupeleka malalamiko yao kwenye chombo ambacho wanatumia kodi zao kupeleka michango. Kafiri anayefumbia macho dhulma iliyowazi ni mfano wako, wengine at least ukijenga hoja ya kweli wanaweza kukusikiliza.

Akina Ponda na Uamsho ndio wanaeneza kuwa taasisi hizo ni za kidini kasoro OIC kama UN, world Bank na nyingine.

Hata Muungano wa Tanzania tunaambiwa wa mfumo kristo au wa Nyerere.
 
Kaazi kwelikweli kama jina lako. Sasa unalalamika nini? Hayo malalamiko yamepelekwa Amnesty sio kwako kwa vile walijua kwamba wewe na wenzako mko biased kwa vile mna hasira na kuchomewa makanisa na wahuni wachache ili mpate kuwabambikizia kesi wengine. Ni nani asiyejua?

leo waislamu wamekuwa ni wahuni wachache?
 
Farid angetumia fursa aliyopata kutetea haki za maisha ya mahabusu ili yeye akifika huko awe salama ni bahati mbaya analalamika tayari yuko ndani.

Mantiki ni kwamba anadai haki peke yake si kwa wote.
 
leo waislamu wamekuwa ni wahuni wachache?

Huwa sipendi kurukia hoja nyiingi nikapoteza mwelekeo wa hoja ya msingi. Hilo la waislamu na wahuni ngoja niliache kwanza. Hoja ni human rights violations na malalamiko yamepelekwa Amnesty, wewe kinachokuuma ni nini? Hwawezi kuleta kwako kwa vile uko biased kama unavyoonyesha hapa. Kama na wewe una malalamiko ya kwako, unaweza kuyapeleka, watayapokea pia.
 
Akina Ponda na Uamsho ndio wanaeneza kuwa taasisi hizo ni za kidini kasoro OIC kama UN, world Bank na nyingine.

Hata Muungano wa Tanzania tunaambiwa wa mfumo kristo au wa Nyerere.

That is completely a different topic ambayo inahitaji muda wake. Kwa sasa kama una jipya, toa maoni yako kuhusiana na hoja ya hiyo barua kwenda Amnesty.
 
Mbona barua haimtetei Ponda kwani sio Mtanzania?

kuna malalamiko kuwa na yeye ananyimwa dhamana na mambo mengine au Ponda hawahusu wazanzibari
 
Mbona barua haimtetei Ponda kwani sio Mtanzania?

kuna malalamiko kuwa na yeye ananyimwa dhamana na mambo mengine au Ponda hawahusu wazanzibari

Tulitegemea na wewe bwana Kazi uwatetee na hao. Barua imeandikwa na wazanzibar kwa yale yanayohusu ZNZ. Lakini ni ushauri, unaweza kucopy hiyo halafu ukaipeleka, ukabadilisha tu kwenye ZNZ ukasema TZ bara au Tanzania!
 
kesi iko mahakamani bado sijui kama haki haitatendeka hukumu bado
 
kesi iko mahakamani bado sijui kama haki haitatendeka hukumu bado

Kwa taarifa yako tu ni kwamba kupeleka malalamiko Amnesty watu walishafanya hivyo miaka ya nyuma na ikawa na impact. Inawezekana nyakati hizo ulikuwa uko shule bado una desa! (joke). Pitia hiyo link ukitoka prep!!

TANZANIA
 
Kwa hiyo huo ndio ushahidi? We kweli una akili za samaki, yaani unaandika karatasi wewe mwenyewe halafu unaliita HATI!

Huo ushahidi wa makaratasi wa kwako wewe kwamba UAMSHO walichoma makanisa uko wapi? Isije ikawa mnachomeana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya tofauti zenu za kimadhehebu mkipata sababu.
 
Kwa taarifa yako tu ni kwamba kupeleka malalamiko Amnesty watu walishafanya hivyo miaka ya nyuma na ikawa na impact. Inawezekana nyakati hizo ulikuwa uko shule bado una desa! (joke). Pitia hiyo link ukitoka prep!!

TANZANIA

Huwezi kujisafisha na mkono wenye mavi. Ukitaka kujisafisha lazima mkono wako uwe msafi, huu ndio msingi wa Sheria na Haki.

Hiyo link inaonyesha ukweli Haki za Binadamu zilikuwa zinakiukwa kama mauaji ya watu wakidhaniwa ni wachawi, ukandamizaji wa demokrasia na vyama vya siasa n.k. Sasa utetezi wa uamsho na hawa 'wahuni' ni nini wakati wamevuruga AMANI? Mi nawaombea sheria iwatafune, na naomba hawa Amnesty International watende Haki kwa kuwakumbusha Serikali kwamba mlikuwa wapi wakati AMANI ikitoweka na HAKI za binadamu zikibakwa!
 
Hawa watu wa Uamsho ni Aibu. Wanadai haki yao ya 1. Kuandamana 2.Kufanya ghasia 3.Kuchoma makanisa 4.Kuua askari 5.Kutukana yeyote anaewanyoshea kidole. hii ni haki yao ya msingi na hakuna wa kuwauliza, haki hii wanataka hawa Wakristo wa Amnesty International wawasaidie.
Wakristo wa UK wana akili zao, wanawajua tabia zenu, mnapenda sana kutoa kafara za damu. Mtamwaga tu damu, you will never rest until you satisfy your twisted brains!
 
Ndugu zetu wengi wana kesi za ukimbizi tangu Maalim alipojitia kwenye mseto kesi zao zimedoda hii ni kutafuta njia ya kufufua kesi zao za ukimbizi; hivi sasa wao sio CUF tena wamehamia UAMSHO yote ni katika kutafuta maisha; kama wangekuwa wakweli wangeongelea ni jinsi gani UAMSHO umeharibu mali za watu na kufikia hatua ya kumchinja askari polisi
Tusiwadhihaki tuliopo huku tunajua nini kinachoendelea.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
kama sheria inafuata mkondo wake bila kupepesa macho hao uamsho inafaa wafie gerezani. kuchoma makanisha ni kutaka kuanzisha vita visivyo kwisha.hao wafie jela, tuwaache wapumue hukohuko.
 
Una maana kama unaishi nje ya nchi yako, huna haki ya kuitetea?

Maana yangu ni kuwa kama kweli una nia ya kutetea nchi yako, uietee kweli na sio kuleta mambo yasio na msingi, au kujiingiza kwenye siasa uchwarwa. Kama kuna ukiukaji wa haki za binadamu waje Zanzibar na kuwaambia wanaokiuka haki za binadamu ni nani na wanakiuka vipi.

Zanzibar kuna matatizo makubwa mawili, kwanza ni imani na itikadi, na lingine ni mambo ya uchumi. Watu wanataka kuwa na maisha bora na mifuko yao iwe na pesa, ili kama wananjaa wale chakula kizuri, kama wana usingizi walale kwenye kitanda kizuri,kama wanaumwa watibiwe vizuri, mtatizo hayo ndio yanawatesa wazanzibar wengi, na haki wanazotaka ndio hizo.

It is not first or second time time that this is happening, but in a couple of occasions especially baada ya polisi kudeal na vurugu za uchaguzi, kuna watu walitumia issue hii kutafuta njia ya kupata ukimbizi Ulaya na America, na walifanikiwa kwa kuwa walikuwa na sbaabu fulani. Lakini kwa sasa all claims made by these offshoots of terrorists and their proxies in UK and US, that there is severe violation of human rights in The Isles, it is just a load of BS. Rights to kill security officers, keep beard, destroy property, loot, hatred, disturb public order are not close to any human right. The right not to be arrested when you commit crime or any offence can not, will not and must not be taken serious by any person with working brains.

It is not a secret that conditions in our prisons are inhumane, but those are prisons we have. Magareza yasilalamikiwe kwa sababu watau fulani wako gerezani, kama kweli kungekuwa na nia ya kuboresha hali ya magereza, basi wangelalamika tangu zamani wakati wengine walipokuwa wanakaa huko magerezani.
 
Hawa watu wa Uamsho ni Aibu. Wanadai haki yao ya 1. Kuandamana 2.Kufanya ghasia 3.Kuchoma makanisa 4.Kuua askari 5.Kutukana yeyote anaewanyoshea kidole. hii ni haki yao ya msingi na hakuna wa kuwauliza, haki hii wanataka hawa Wakristo wa Amnesty International wawasaidie.
Wakristo wa UK wana akili zao, wanawajua tabia zenu, mnapenda sana kutoa kafara za damu. Mtamwaga tu damu, you will never rest until you satisfy your twisted brains!

Kama ni kafara za damu, hakuna anayewashinda nyie wakristo. Si mnaamini kuwa msingeweza kuokoka mpaka 'YESU' afe?

Ndio maana wanapimwa na akili zao, tungoje sasa wakubaliane na wewe kama ni wenzako!
 
Rights to kill security officers, keep beard, destroy property, loot, hatred, disturb public order are not close to any human right. The right not to be arrested when you commit crime or any offence can not, will not and must not be taken serious by any person with working brains.

.

Siku zote ukiamini kuwa wewe ndio brain yako is working na wengine ni vichaa ndio tatizo lake. Tunachosema, wale sio wafungwa ni mahabusu na wanatakiwa kuwa terated in the same way kama kahabusu wengine kulingana na mazingira yaliyopo huko. Kama mahabusu wengine wanahusiwa kubadilisha nguo, kwanini wao wasipewe hiyo haki, kama wana haki ya kuletewa chakula, kutembelewa, kuchanganyika n.k kwa nini wao wasipewe hizo haki?

Tatizo inapotea ukawa partial, huwezi ukajadili uhalisia wa jambo kama mlivyo nyie ndio maana siku moja hii nchi mtakuja kuitia vurugu isikalike na nyie wote muwe wakimbizi.
 
Mbona Lulu mpk leo (inakaribia mwaka) hajasomewa mashtaka kwa sababu upelelezi haujakamilika wakati akiendelea kusota jela? Mjue kwamba huu ndo ukweli wa mfumo wetu wa mahakama na magereza. Kujaribu kuufanya suala hili particular kwa Uamsho ni ku-dilute tatizo na pelekea ishu hii ya reform of jutice system kuwa politicized and weakened. Hebu pimeni mtu mzmima kulalamika kunyolewa ndevu na mtoto wa kike kukosa haki yake ya kusoma...
 
Back
Top Bottom