Barua ya Wazanzibari waishio UK, US kwa Amnesty

Barua ya Wazanzibari waishio UK, US kwa Amnesty

Kule mahakamani wametoa ushahidi wa utosha na wala hawanihitaji mimi, na ni labda walifumbie macho hili na kwa taarifa yako pia wakati wanatifua makaburi mimi mwenyewe nilikuwapo na nilishuhudia kwa macho yangu vile sikupata wazo la kuwapiga picha. NA WALIKUWA NI WAFUASI WA UAMSHO.

Nafikiri umeshawahi kusikia ule msemo '' JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED'' Kama hujasikia chukua hapa. Ikiwa ushahidi upo, naamini, it should be in the govt interest kutoa hukumu ya haraka ili wapate kuwaadhibu mapema. Unafikiria ni nini motive ya kuwacheleweshea hukumu kama ushahidi upo 'great thinker'?
 
We are also talking about those who filed a complaint. Human rights are being violated in Zanzibar to Zanzibaris, not to Zanzibaris who live in UK, US or whatever If there is a case to make, then let those who are in Zanzibar make it, they are more likely to be heard than a bunch of lads in Europe who enjoy most of human rights,

Una maana kama unaishi nje ya nchi yako, huna haki ya kuitetea?
 
Nafikiri umeshawahi kusikia ule msemo '' JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED'' Kama hujasikia chukua hapa. Ikiwa ushahidi upo, naamini, it should be in the govt interest kutoa hukumu ya haraka ili wapate kuwaadhibu mapema. Unafikiria ni nini motive ya kuwacheleweshea hukumu kama ushahidi upo 'great thinker'?

Great thinker! hang on a minute!! kwani dhamira ya Uamsho haswa ni nini mkuu!?? naomba unijibu hilo!!
 
Great thinker! hang on a minute!! kwani dhamira ya Uamsho haswa ni nini mkuu!?? naomba unijibu hilo!!

Unanitoa nje ya ulingo great thinker; Jibu hili swali kwanza badala ya kurudia rudia mambo yale yale:

quote_icon.png
By Bayana

Nafikiri umeshawahi kusikia ule msemo '' JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED'' Kama hujasikia chukua hapa. Ikiwa ushahidi upo, naamini, it should be in the govt interest kutoa hukumu ya haraka ili wapate kuwaadhibu mapema. Unafikiria ni nini motive ya kuwacheleweshea hukumu kama ushahidi upo 'great thinker
 
Haya maswali mazuri na ndio namna ya kujadliana: Madai ya mambo yanayofanywa wakiwa mahabusu ni kama:

1) Kulazwa sakafuni
2) Kuzuiwa kupelekewa chakula kutoka nyumbani wakati wengine wanatakiwa kupata special meals for health reasons
3) Kuzuiwa kubadilisha ngua tangu wapelekwe rumande n.k

In summary hizo ni haki za mtu akiwa mahabusu. Ushahidi wa hilo ni wao wenyewe na mawakili wao ambao wamekuwa wakizungumza na waandishi wa habari kila kesi inapotajwa.

Ndio mjue sasa amani ukicheza nayo linakupata lipi. Bora wamekuwa wazuri kwenye ushuhuda ili na wewe usishawishike kwenda kule. Walienda wakafikiri tende na halua zitawafuata kule?

Chakula chakula, mnataka muwawekee sumu wale wafe mseme waliuliwa na serikali. Hamna hoteli kule, kazi moja, maharagwe na dona kama kawa, vipi mwarabu yanamdhuru?
 
Islamic organisation called UAMSHO (Awakening).
UAMSHO, a registered NGO, has been active in Zanzibar for a number of years now. In addition to its religious activities, it has taken part in observing elections, has produced well-researched reports on past elections and has provided civic education to the populace. The organisation has a wide grass root support within the community. Recently it has been actively championing for the restoration of Zanzibar's sovereignty.

Hapa hakuna aliyethubutu kuandika iko registered kwa madhumuni yapi.
 
Ndio mjue sasa amani ukicheza nayo linakupata lipi. Bora wamekuwa wazuri kwenye ushuhuda ili na wewe usishawishike kwenda kule. Walienda wakafikiri tende na halua zitawafuata kule?

Chakula chakula, mnataka muwawekee sumu wale wafe mseme waliuliwa na serikali. Hamna hoteli kule, kazi moja, maharagwe na dona kama kawa, vipi mwarabu yanamdhuru?

Its a fair comment, una uhuru wa kufikiri na kuamini hivyo! Lakini wanaohisi kuwa sio sawa ndio maana wamepeleka malalamiko kwa taasisi ambazo pia zinaweza zikaamua. Zikiamua kama unavyofikiri, its well and good, watasubiri hatma nyingine. Lakini wanayo nafasi ya kusema kile ambacho wanahisi sio sawa.
 
Haya maswali mazuri na ndio
namna ya kujadliana: Madai ya mambo yanayofanywa wakiwa mahabusu ni
kama:

1) Kulazwa sakafuni
2) Kuzuiwa kupelekewa chakula kutoka nyumbani wakati wengine wanatakiwa
kupata special meals for health reasons
3) Kuzuiwa kubadilisha ngua tangu wapelekwe rumande n.k

In summary hizo ni haki za mtu akiwa mahabusu. Ushahidi wa hilo ni wao
wenyewe na mawakili wao ambao wamekuwa wakizungumza na waandishi wa
habari kila kesi inapotajwa.

1.Hali ya magereza kiuchumi si nzuri kwani sakafuni wanalala peke yao?2.Chakula ni hatari kumpelekea,kama mtu aliweza kujiteka na kusbabisha vurugu atashindwa kujiua! 3.Nguo kubadili lazima maofisa wa gereza waruhusu asije kujiwekea kemikali halafu akajidhuru! ila hilo si kweli maana tunawaona mahakamani na nguo tofautitofauti!
 
Unanitoa nje ya ulingo great thinker; Jibu hili swali kwanza badala ya kurudia rudia mambo yale yale:

quote_icon.png
By Bayana

Nafikiri umeshawahi kusikia ule msemo '' JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DENIED'' Kama hujasikia chukua hapa. Ikiwa ushahidi upo, naamini, it should be in the govt interest kutoa hukumu ya haraka ili wapate kuwaadhibu mapema. Unafikiria ni nini motive ya kuwacheleweshea hukumu kama ushahidi upo 'great thinker

Motive ya kuchelewesha i understand ni kuwa na ushahidi kamilifu haswa ktk kesi kama hii ya hao Uamsho ambayo it seems to be a very sensitive case sababu inahusishwa na mambo ya udini ndani yake. Sasa decision yoyote itakayo tolewa ni lazima iwe imefanyiwa kazi in a very constructive and careful follow up ili isije leta madhara baadaye. halafu naomba pia unijibu swali langu hapo juu mkuu nitafurahi sana THE AIMS OR OBJECTIVES OF UAMSHO!
 
1.Hali ya magereza kiuchumi si nzuri kwani sakafuni wanalala peke yao?2.Chakula ni hatari kumpelekea,kama mtu aliweza kujiteka na kusbabisha vurugu atashindwa kujiua! 3.Nguo kubadili lazima maofisa wa gereza waruhusu asije kujiwekea kemikali halafu akajidhuru! ila hilo si kweli maana tunawaona mahakamani na nguo tofautitofauti!
Naona umekuja kivingine sasa, unaijibia serikali! wewe unawaona mahakamni au unasoma kwenye magazeti? Mbona hakuna kiongozi hata mmoja aliyekanusha? Ukitaka uwe na mchango na mawazo mazuri, siku zote free your mind, usiwe biased kabla hujachangia. Ukiwa biased, unaweza kutoa mchango unaopingana na akili zako, kitu ambacho ni hatari.
 
Hao waarabu wanaowachochea kuna siku tutapata rais mkorofi watajuta kujichanganya na wabara, zanzibar ni sehemu ya jamhuri ya muungano takeni msitake huo ndo ukweli mchungu.

Mapinduzi ya znz yalikuwa yakumgo'a mwarabu ambae alitufanya watumwa leo wanarudi kimya kimya!
Serikai ichukue hatua dhidi ya hao wapuuzi.

we vipi? Si uwaache wapumuweee? Faida ya Muungano ni kwa Magamba tu.
 
Nanyi mmetuchosha na malalamiko yenu..Mtoa mada ina maana walioko jela waachiwe kwa sababu ilikuwa peaceful demostration..acheni hizo ndugu zetu wa Zanzibari sheria lazima ichukue mkondo wake..Wao kujihusisha na uhalifu haina maana waachiwe kwa sababu ni watu fulani wache wakae jela kwani walioko jela zingine hususan Tanzania nzima hawana haki sawa na hawa acha walipe malipo wasitusumbue sisi. Waarabu wanawadanganya nanyi mnakubali mtaishia kuchinjana wenyewe kwa wenyewe.Halafu Wazanzibari wanalalamika zaidi ya watoto maana kutwa hiki mara kile..mbona wenye makanisa wamekaa kimya wanasubiri sheria ifanye kazi yake lakini ninyi kelele utafikiri mmenyimwa peremende..Fanyeni kazi pelekeni watoto shule wakapate elimu wawezi kujikimu na janga la kunung'unika hata pasipo na sababu.
 
Kinachonichekesha hawa wakimbizi wa Kizanzibar huwa hawakimbilii nchi za kiarabu bali hukimbilia kuhemea nchi za Makafiri kama USA na UK.

Dont attack the personality, jibu hoja iliyo mezani. Kama wanakimbilia kule kueneza dini je? Haikatazwi boss!
 
Peaceful demonstrations which resulted into burning of churches, and killing of one a police officer.

Utetezi wa UAMSHO ni sawa ni msumari kwa Amnesty International na Human Rights Watch kwani ni sawa na kuwaamsha usingizini na kuwauliza mlikuwa wapi wakati hizi 'peaceful demonstrations' zinatendeka?

Mimi ninavyojua hawa jamaa, Human Rights na Amnesty wanajutia kutokutenda HAKI na kusema lolote wakati 'wahuni' na UAMSHO walivyokuwa wanavuruga AMANI . Na kwa taarifa tu, wakiendelea kusisitiza juu ya barua yao majibu watayapata kwani hawa jamaa hawakopeshi!
 
Let's wait and see. Ila nashukuru umetofautisha wahuni na UAMSHO.
 
Back
Top Bottom