kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 222
- 515
Wasalaam,
Jana nimetoka Lusaka nipo iringa now. Haya ndio niliyoyasikia kwa masikio yangu. Mnajua wazambia wanapenda sana mpira.
Wanasema hivi;
1. Ukitaka kuifunga simba cheza cross nyingi sana utapata magoli. Mabeki wake hawajui KBS kucheza cross hasa baada ya kukimbizwa na mawinga. Red arrows wameambiwa hivo mjipange.
2. Simba wakishinda goli moja au mbili second half huwa wanarelax wanacheza kwa uvivu sana marking inapungua. They play biriani....huo ndio muda Wa kupata magoli.
3. Currently, the only striker with ability to hold and possess the ball is only Mugalu, and he is not going to play in the coming game....so wanasema mabeki wao watakuwa na uwezo Wa kunyang'anya mipira kirahisi kwa strikers na viungo wengi wa simba kwa sasa na kupiga mipira mirefu kwa wings then wanapiga cross mchezo unaisha...
4. Mwisho. Game zote tano za simba za mwisho wamezifatilia na kumchambua kila mchezaji
Haya mjipange....ni hayo tuu kazi kwenu yachukueni au muyaache