Barua ya wazi kwa Club ya Simba: Simba Sports Club

Barua ya wazi kwa Club ya Simba: Simba Sports Club

Haitawasaidia hiyo,Kwa Sababu hayo mambo yalikuwa Kipindi Cha Gomez lakini Kwa Sasa Kuna Mwalimu Mwingine Mwenye falsafa zake mbinu na itikadi kisoka.
hata mwezi Hana,tatizo la Simba sio kocha,ni wachezaji hawana viwango ama wengine vime poromoka.
 
Unagusa, unaachia...

Mishale myekundu; njia pekee ya kumzuia mnyama ni ama asije uwanjani, au, bahati iwabebe.
 
Achana na habari za hao wazambia, sisi sahivi tunakocha la Getafe.
Hivi home boy ulishakutana na formation hizi kwenye futbol,4-1-4-1 au hii 4-2-3-1 sasa hizi ndio za kispanish yani juzi tu Ruvu tumewapa kionjo cha hiyo ya pili na wakala 3 kwa moya.

Maana yangu ni kwamba sasa hivi mtu akikutana na Simba ni either ale kichapo cha 4 moya au 3 moya na hii ni kutokana na formation za kocha wetu.Sitaki niseme mengi nadhani Ruvu ni wameliona hilo.Sasa andika pia barua ya wazi kwa Red arrows kwamba mje tu tuwafunge kwa maana sisi ndio machampion wa shirikisho msimu huu.

Kingine hatuna cha slogan msimu huu ila mtu atakuwa anachapika kimya kimya na hii itakuwa funzo kwa wote wanaopenda kupayuka
Mmmmh haya Nyodo hizo tusijekutafutana kwa tochi humu.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom