Sijaelewa ufafanuzi wa hizo kozi juu au ufafanuzi wa kozi ulizoandika...
Anyway..
Doctor of medicine (MD) .{au kama ulivyoandika Bachelor degree in medical doctor} Ni kozi inayoandaa wataalamu wa Afya kufanya Matibabu kwa wagonjwa ikiwemo kufanya upasuaji wa dharula na unaoruhusiwa kulingana naa elimu yake kisheria
Na Doctor of dental surgery (DDS) {au kama ulivyoandika Bachelor degree in Dental surgery} Ni kozi imayoandaa wataalamu wa Afya kufanya matibabu ya kinywa na Menu ikiwemo kufanya shughuli za upasuaji wote wa Kinywa na meno....
Doctor of Medicine huitwa Medical Doctor au medical officer while Doctor of dental surgery huitwa Dental Surgeon
Wote wanatambukika kisheria kama Madaktari kamili...
Nafikiri nimejaribu kukudadavulia
Thanks