BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Mh igp. Traffic wa arusha wamekuwa wasumbufu sana kwa wananchi. Yani mji umekuwa ni kero kwani askari wako wamekuwa omba omba. Na wakiona umekataa kabisa kutoa rushwa wanalazimisha kuandika fine.
Kwaweli its geting too much kwani wanatafuta makosa kwa udi na uvumba.
Tuaomba uondoe hii aibu kwenye jeshi la polisi
Kwaweli its geting too much kwani wanatafuta makosa kwa udi na uvumba.
Tuaomba uondoe hii aibu kwenye jeshi la polisi