Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii reply ni uzi tosha mkuu, ni kweli dunia ipo busy kuempower mtoto wa kike which is very okay lakini kwa wakati huo huo tunapoteza focus to a boy child, automatic tunasolve tatizo moja na kutengeneza jingine.Safi sana Mla Bata, umefanya la maana sana kudondosha uzi mzuri uliojaa madini tupu hasa kwenye nyakati hizi ambazo mtoto wa kiume ametelekezwa anaishi ishi tu ilimradi.
Kama Kuna nyakati ambazo mtoto wa kiume anapaswa kuangaliwa Kwa ukaribu sana na kupewa semina za mara Kwa mara kuhusu kujenga, kuboresha na kutunza thamani yake ya kiume basi ni nyakati hizi za Sasa.
Mtoto wa kiume anapaswa kutengenezewa utambuzi unaomuwezesha kujua makusudio au destiny yake hapa duniani ni nini na atayafikia vipi Kwa namna ambayo ni sahihi.
Mtoto wa kiume anapaswa kufundishwa kuhusu " positive masculinity na kui-embrace, masculinity ambayo ina faida Kwa ustawi WA maisha yake.
Jamii yetu ya kisasa ime-redefine masculinity Kwa namna ambayo inamfanya mtoto wa kiume awe kwenye receiving end ya upuuzi wote unaofanyika kwenye jamii.
Mtoto wa kiume anapaswa kufundishwa tangu awali heshima na thamani yake anaitengeneza, na asipoitengeneza ataishi Kwa kudharauliwa maisha yake yote.
Mtoto wa kiume anapaswa kufundishwa kwamba akiingia kwenye mahusiano atumie zaidi akili kuliko hisia, na atambue suala la kutumia hisia ni la wanawake.
Mtoto wa kiume anatakiwa afundishwe jinsi ya kutafuta maarifa ya kukuza uchumi wake kila iitwapo leo, kwani Dunia haina huruma kabisa na wanaume maskini.
Napendekeza nyuzi kama hizi ziwe zinatolewa Kwa wingi, ikiwezekana kila weekend ziwe zinashushwa kama kumi hivi maana ndio siku ambazo vijana wetu Wana free time ya kutosha ya kuzurura zurura mitandaoni.
Hiyo pic ya uncle Magu 😹😹
Sijui alikuwa anawaza nini na kusikitika nini?
Kuna mapya gani Songea? Nipo karibu na Songea.Umejaribu kwenda Songea kwa wangoni 😀
Kwan na wewe umekosa mke?Kuna mapya gani Songea? Nipo karibu na Songea.
Kwan na wewe umekosa mke?
Alikua na hasira hapo sio poa..nadhani alitaka akamtumbue mtu ahaha