Barua ya wazi kwa kijana wa kiume (20's)

Hii reply ni uzi tosha mkuu, ni kweli dunia ipo busy kuempower mtoto wa kike which is very okay lakini kwa wakati huo huo tunapoteza focus to a boy child, automatic tunasolve tatizo moja na kutengeneza jingine.
 
My life was all lie, baada ya kumature na kuanza kuquestion existing norms and belief systems. Everything is designed to make me cower and submissive,.

Challenging the status quo has never been easy for me.


Exodus
 
Safi, uzi makini.

Yote uliyoainisha ndio tumekutan nayo Mkuu.

Zaidi napendekeza tuzingatie kumtanguliza Mungu na positivity kwenye kila jambo na hali.
 
Uzi mzuri...nipo natengeneza maisha ya wanangu...especially my boys...
Naona kabisa kesho yao kwa dunia hii itakua ngumu sana...nawaandalia mazingira ili wapate vya kuanzia...
Wazazi tufanye hivyo uchoyo uchoyo wa kuwatenga wtt wa kiume eti wakajitafutie na huku ungeweza kuwashika mkono wao wakaanzia hapo it won't help....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…