Elections 2010 Barua Ya Wazi Kwa Kikwete !

Elections 2010 Barua Ya Wazi Kwa Kikwete !

Kikwete hastahili kupewa hata neno moja la kistaarabu kwani yeye siyo mstaarabu na ameukataa mwenyewe kwa kukatilia mbali haki ya wapiga kura na kuamua kuwaibia mchana kweupe
 
Jackob, jOKA, mZIZI Mkavu mnatia kichefuchefu. Hata kama mmekunywa maji ya bendera ya kijani acheni wazalendo na wapenda haki waongee. Kama mmetumwa semeni. Hivi mnafurahia wenzetu kule Shinyanga, Segerea wanavyoumizwa kwa uzandiki wa Chama chenu cha majambazi CCM? Nchi hii inaharibiwa na CCM na JK lazima nchi imfie. Acha CCM wafanye wanayo yafanya lakini iko siku Mungu mpenda haki atawaanika juani na haki ya kweli kwa wapenda haki itapatikana. Tunawaombea wana CCM maisha marefu ili wapenda haki tutakapo inuliwa wapate kushuhudia. Marehemu Horace Kolimba alisema kuwa CCM imekosa mwelekeo, hakukusea. Matokeo yake tunayaona sasa. Machafuko ya nchi za kiafrika hasa baada ya chaguzi yanasababishwa na chama tawala kwa kung'ang'ania madaraka ili hali wananchi wameshachoshwa. Kibaki, Mugabe walilazimisha kujitangaza washindi wakati nguvu ya umma haiwataki. Kikwete akifuata mkondo atalaaniwa milele.Napenda kuwaambia kuwa, watanzania wa leo siyo wale wa miaka iliyopita, si watanzania wa kudanganyika kirahisi. Kwa mwenendo wa kura unavooenda kama una akili timamu huwezi kusema Kikwete atashinda kihalali, hilo hata mtoto mdogo analifahamu. Haiwezekani Jimbo ambalo Mbunge wa upinzani kamshinda wa CCM kwa zaidi ya 40% halafu jimbo hilo hilo Kikwete ashinde kwa zaidi ya 70% . CCM watachakachua kura, watachakachua roho zetu lakini Mungu wa kweli iko siku atasikia kilio cha watanzania na mapinduzi ya kweli yatapatikana. Tunaomba CCM wasitumie maiti za watanzania kama daraja la kupandia kupata madaraka kwa tamaa zao. Iko siku roho zinazochakachuliwa sasa hivi zitaamka na haki itapatikana. Kwa kinachoonekana sasa hivi majimboni ni uvunjaji wa haki za binadamu na vyote hivi vinaongozwa na CCM. JAMANI CCM kama wananchi hawawataki MSILAZIMISHE. Na viongozi mnaoingia madarakani kwa kuchakachua matokeo hamtakuja kupata amani moyoni kwako kwa dhambi uliyofanya. Kama mwananchi unayetaka kumuongoza hakutaki....na bado unang'ang'ania unataka mwisho wa siku uongozi maiti? Iko siku nguvu ya umma itakapoamua, mtalia na kusaga meno. Ni hayo tu
 
Mh. Kikwete,
Wananchi hawakutaki using'ang'anie madaraka wachukue akina riziwani ,mvuta unga miraji, makamba family, lawrence masha, makongoro mahanga, rostam aziz, karamagi, lowassa na mafisadi wengine na bila kumsahau mkeo mkafanye kampeni kule Bagamoyo. iwe nchi ndogo ndani ya tanzania tuachie Tanzania yetu kama ulivyoikuta. hatutaki umwagikaji wa damu

Umeshaiba mali ya nchi, bagamoyo na chalinze kuna sehemu za starehe mkayafuraie huko. Soma lama za nyakati zinazosema wazi kwamba watanzania hawakutaki, vinginevyo utapeleka nchi pabaya na usultani wako unaomfanya kitambi kilichojaa mavi Ridhiwani naye ajione kama rais. Ungejua wazi kwamba sisi wakurya tunazaliwa wanajeshi kasoro magwanda, hata ulete jeshi lote la wananchi kama hatukutaki ni hatukutaji, kwa hiyo usijidanganye kabisa

Au unasubiri maandamano hadi ikulu? kama ni hivyo basi watu wtaandamani hadi utoke ikulu. Tuna haki ya msingi ya kuandamana, iweje mtangaze mliposhinda waliposhinda upinzani mnakataa kutangaza matokeo? Tanzania ya sasa siyo ya zamani, wewe unaipeleka hii nchi pabaya, nadhani umenisoma vizuri Mkwere, vinginevyo subiri siku familia yako na ya makamba itakapoiona tanzania kuwa chungu

Najua unasoma ma blog, kama hauzisomi, najua wabeba begi wako, hasa Fisadi Chipukizi January Yusuf Makamba, anazisoma. Akufikishie huu ujumbe. Habari ndo hiyo "thatha wigure??


Mtiifu,

Mwita Waitare Magesa a.k.a Fisadi-Original
Tarime, Mkoa wa Mara
Tanzania, East Africa
Africa Continent

1.jpg
Recovered_JPEG_Digital_Camera_953.jpg
1%5B1%5D.JPG
RA.jpg
LaurentKegoMasha.jpg
KIKWETE-JR..jpg

kumekucha naona. vijana wanaingia mitaani punde tu
 
Mod, tafadhali chunga staarabu za JF! Hii barua imejaa lugha isiyo ya kiungwana licha ya ujumbe wake kuwa na malengo! Au arekebishe lugha au uifute kabisa, Please for the sake of the JF



ni kweli mkuu huenda alikuwa na jambo zuri la kuelezea tatizo ni language tu.
hujachelewa mkuu, edit tena kwani huenda wakuu wengine wakakusababishia ban.
meanwhile, usirudi nyuma baki na hiyo course of action.
 
Umenena. Wananchi wameichoka ccm na jk (small letters).
Mking'ang'ania kututalawa mwishowenu mbaya.
Kila kitu kina mwisho. Had you been wise, mungeachia ngazi na uchaguzi uwe huru na wa haki. Kwa ukandamizaji huu, there's a price u'll someday pay. Tusubir


sijampigia kikwete, simjui asivyowajua dowans
 
Back
Top Bottom