hamtaki"" tu kuuelewa ukweli "" lakini Muda ndiye hakimu wa haki ""na inadhihirisha wazi kuwa Muda""" hauwahitaji tena """"Hawa makocha ila wana force tu kuendelea kuwepo kwenye tasnia ya Mpira wa miguu "" nimakocha wakubwa ndio na """"wamevipatia vilabu""" mafanikio lakini wakati wao """umeshapita hawana""" jipya tena lakufnya """ilikutudhihirishia""" uwezo wao """Siku hiz ""wamekuwa"" wanategemea"" ushindi wa bahati mnoo kuliko mipango ya kweli ""
1. Wenger
2 mourinho
3 benitez
4 Carlo Lancelot
hao watu walipaswa kuzipisha damu changa sasa ...wakati wao umepita """