Usisahau kimwandikia yule alieshika usukani aachie kwamaana dini haimruhusu kushika usukani kuendesha me.
Kwanza tuanze na huyu
Usisahau kumuandikia na yule anayevaa hijab na kuwaua watu wake kwa risasi.BARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB
Ndugu Mange Kimambi,
EXPERT MEMBER - JF
Yeye ni mpare sio mwarabuBARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB
Ndugu Mange Kimambi,
Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh,
Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ninakuandikia barua hii ya wazi kwa heshima na nia njema, nikizingatia kauli zako za mara kwa mara kuwa wewe ni Muislamu.
Kama unavyojua, Uislamu si tu jina au utambulisho wa maneno, bali ni mfumo kamili wa maisha unaojumuisha imani, matendo, na maadili. Miongoni mwa mambo muhimu ambayo Uislamu umeweka wazi kwa mwanamke Muislamu ni suala la hijab, ambayo si vazi tu bali ni ishara ya utiifu kwa Mwenyezi Mungu, heshima, na kujisitiri.
Hijab imefaradhishwa katika Qur’an Tukufu na ina nafasi kubwa katika kulinda heshima ya mwanamke na kuonyesha utambulisho wake wa Kiislamu. Ni alama ya unyenyekevu na utiifu, na si kifungo bali ni heshima aliyopewa mwanamke na Mola wake.
Ndugu yangu, kauli zako zina uzito mkubwa kwa jamii, hasa kwa vijana wanaokufuatilia. Unapojitambulisha kama Muislamu, watu wengi wanakutazama kama mfano. Hivyo, ni muhimu jitihada zako ziendane na mafundisho ya dini unayoikiri, ili uweze kuwa chanzo cha kheri na mwongozo sahihi kwa wengine.
Barua hii si hukumu wala lawama, bali ni ukumbusho wa upendo na nasaha njema. Sote tuna mapungufu, lakini kilicho muhimu ni kujirekebisha na kurejea katika yaliyo sahihi kadiri tunavyoweza.
Nakuomba utafakari kwa kina juu ya nafasi ya hijab katika maisha ya mwanamke Muislamu, na uchukue hatua stahiki kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu na mustakabali wako wa Akhera.
Mwisho, nakutakia kila la kheri, uongofu, na mafanikio katika maisha yako ya dunia na Akhera.
Wassalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh.
Wako katika kheri,
MALARIA 2
EXPERT MEMBER - JF
Hijab inafaida kubwa kisayansi. Kwa mfano Kinga dhidi ya mionzi ya jua (UV)Hijab ni utumwa wa dini ya Mwarabu.
Mbona wanaume hawavai hijabu sasa??Hijab inafaida kubwa kisayansi. Kwa mfano Kinga dhidi ya mionzi ya jua (UV)
Taasisi kama World Health Organization (WHO) zinaeleza wazi kuwa:
Kufunika ngozi ni njia mojawapo bora ya kujikinga na mionzi ya UV
Mavazi (ikiwemo hijab) hupunguza hatari ya Skin Cancer
Ushahidi:
WHO: “Protective clothing is one of the most effective barriers against UV radiation.”
Tafiti za dermatology zinaonyesha kuwa vitambaa vizito au vyenye rangi nyeusi huzuia UV kwa kiwango kikubwa (UPF – Ultraviolet Protection Factor)
Ngozi ya wanawakeMbona wanaume hawavai hijabu sasa??
Havai kipare anafaa kizungu yaani full uchiYeye ni mpare sio mwarabu
Kwa hio km asipovaa mtamfanyaje mtamkata kichwa au mtampiga mawe mpaka afe?Nakuomba utafakari kwa kina juu ya nafasi ya hijab katika maisha ya mwanamke Muislamu, na uchukue hatua stahiki kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu na mustakabali wako wa Akhera.
Mpare wapi Mmakonde yuleYeye ni mpare sio mwarabu
Ktk uislam, utakiwa umpe nasaha. Hata mama yake Yesu akivaq hijab na sio vimini kama unaovaa weweKwa hio km asipovaa mtamfanyaje mtamkata kichwa au mtampiga mawe mpaka afe?
Wewe ukikuta chakula kipo wazi na kimezungurukwa na inzi, na chengine kimefunikwa wewe kwa hatua ya haraka utakula kipi?Huko ulikotoka uislamu wenyewe wameanza kuachana nazo unakuta mwanamke kavalishwa miguo kibao Tena myeusi na joto la dar hili mpaka anatoa harufu,. Mi na Dhani Kuna haja ya kuwapa uhuru WA kuchagua
Mama yetu yupiMama yenu muislam lakini mwizi na hamsemi kitu
Kwa hio wewe ndio hua unavaa kimini msikitini si ndio?Ktk uislam, utakiwa umpe nasaha. Hata mama yake Yesu akivaq hijab na sio vimini kama unaovaa wewe
Humjui?Mama yetu yupi