Barua ya wazi kwa Mange Kimambi

Wanaume mbona hawavai hijab wala burka? Je, wao hawahitaji hiyo kinga?
 
Ila Mashekhe 😁😁 mnawatesa wake zenu sana ila nyie mna vaa kanzu bila hata boxsa🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hatuvaii box kwa sababu tukipanda mabasi dada zenu wanaovaa vimini tukikugusana nao wajihisi wamepata ubaridi, maana nyinyi kutwa mko baa hata ubaridi hamna
 
Kwani hijabu ni vazi la kiislam au ni vazi la waarabu ambao wanaishi karibu na jangwa?
 
Masahihisho:
1.sio mapungufu ni upungufu,neno upungufu halina wingi kwa kiswahili sanifu
1.sio kuonyesha ni kuonesha.Neno kuonyesha linatokana na kitenzi onya hivyo kiswahili sanifu ni kuonesha ambapo kitenzi chake ni ona.
 
Itakuwa mpemba wewe. Maana mchaga hajui kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…