Marekani na Ulaya hakuna inzi karibu na sehemu za vyakula, ni wasafi sana, labda Africa na Uarabuni ndio kuna hayo matatizo ya inzi kuzunguka kwenye chakula.Wewe ukikuta chakula kipo wazi na kimezungurukwa na inzi, na chengine kimefunikwa wewe kwa hatua ya haraka utakula kipi?
Ukae Jangwani halafu uvae hijab? Unaakili kweli wewe?
Ndio maana nikwambia hijab sio la waarabu, la waislam. Hata marekani wanavaaMadina iko wapi ? Macca iko wapi? Dubai iko wapi? Wanavaa nini? Kaptula?
Kwa hivyo wewe unaishi marekani? Wazee wako waliuzwa enzi za utumwa?Marekani na Ulaya hakuna inzi karibu na sehemu za vyakula, ni wasafi sana, labda Africa na Uarabuni ndio kuna hayo matatizo ya inzi kuzunguka kwenye chakula.
Ndio maana nikwambia hijab sio la waarabu, la waislam. Hata marekani wanavaa
Hata biblia imewataka wanawake wa kikiristo wavai hijab. Lkn uzunngu umetuharibuHijabu ni vazi la waarabu ila because waarabu wengi ni waislam imekuwa kama adopted, waarabu walikuwepo kabla ya Uislamu na walikuwa wanavaa hijabu
Hata biblia imewataka wanawake wa kikiristo wavai hijab. Lkn uzunngu umetuharibu
Kwahio wewe ni Kiranja wa nidhamu wa mbinguni?Hata biblia imewataka wanawake wa kikiristo wavai hijab. Lkn uzunngu umetuharibu
Dini imekuja mwanzo kabla ya watu kuvaa nguoHayo mavazi yalikuwepo hata kabla ya dini
Dini imekuja mwanzo kabla ya watu kuvaa nguo
Ubaweza kuvaa hijabu na ukawa shetani tuBARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB
Ndugu Mange Kimambi,
Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh,
Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ninakuandikia barua hii ya wazi kwa heshima na nia njema, nikizingatia kauli zako za mara kwa mara kuwa wewe ni Muislamu.
Kama unavyojua, Uislamu si tu jina au utambulisho wa maneno, bali ni mfumo kamili wa maisha unaojumuisha imani, matendo, na maadili. Miongoni mwa mambo muhimu ambayo Uislamu umeweka wazi kwa mwanamke Muislamu ni suala la hijab, ambayo si vazi tu bali ni ishara ya utiifu kwa Mwenyezi Mungu, heshima, na kujisitiri.
Hijab imefaradhishwa katika Qur’an Tukufu na ina nafasi kubwa katika kulinda heshima ya mwanamke na kuonyesha utambulisho wake wa Kiislamu. Ni alama ya unyenyekevu na utiifu, na si kifungo bali ni heshima aliyopewa mwanamke na Mola wake.
Ndugu yangu, kauli zako zina uzito mkubwa kwa jamii, hasa kwa vijana wanaokufuatilia. Unapojitambulisha kama Muislamu, watu wengi wanakutazama kama mfano. Hivyo, ni muhimu jitihada zako ziendane na mafundisho ya dini unayoikiri, ili uweze kuwa chanzo cha kheri na mwongozo sahihi kwa wengine.
Barua hii si hukumu wala lawama, bali ni ukumbusho wa upendo na nasaha njema. Sote tuna mapungufu, lakini kilicho muhimu ni kujirekebisha na kurejea katika yaliyo sahihi kadiri tunavyoweza.
Nakuomba utafakari kwa kina juu ya nafasi ya hijab katika maisha ya mwanamke Muislamu, na uchukue hatua stahiki kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu na mustakabali wako wa Akhera.
Mwisho, nakutakia kila la kheri, uongofu, na mafanikio katika maisha yako ya dunia na Akhera.
Wassalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh.
Wako katika kheri,
MALARIA 2
EXPERT MEMBER - JF
Hijab inafaida kubwa kisayansi. Kwa mfano Kinga dhidi ya mionzi ya jua (UV)
Taasisi kama World Health Organization (WHO) zinaeleza wazi kuwa:
Kufunika ngozi ni njia mojawapo bora ya kujikinga na mionzi ya UV
Mavazi (ikiwemo hijab) hupunguza hatari ya Skin Cancer
Ushahidi:
Kama mnafuata sayansi unajua blackboard is good absorber, it absorb all heat energy throwed to it. Na bado kwenye jua kali la jangwani mkamvalisha mwanamke tena burka akome na joto wanaume mkavaa nguo nyeupe ili kureflect joto mahayawani wakubwa nyieWHO: “Protective clothing is one of the most effective barriers against UV radiation.”
Tafiti za dermatology zinaonyesha kuwa vitambaa vizito au vyenye rangi nyeusi huzuia UV kwa kiwango kikubwa (UPF – Ultraviolet Protection Factor)
You’re making much ado about nothing!BARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB
Ndugu Mange Kimambi,
Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh,
Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ninakuandikia barua hii ya wazi kwa heshima na nia njema, nikizingatia kauli zako za mara kwa mara kuwa wewe ni Muislamu.
Kama unavyojua, Uislamu si tu jina au utambulisho wa maneno, bali ni mfumo kamili wa maisha unaojumuisha imani, matendo, na maadili. Miongoni mwa mambo muhimu ambayo Uislamu umeweka wazi kwa mwanamke Muislamu ni suala la hijab, ambayo si vazi tu bali ni ishara ya utiifu kwa Mwenyezi Mungu, heshima, na kujisitiri.
Hijab imefaradhishwa katika Qur’an Tukufu na ina nafasi kubwa katika kulinda heshima ya mwanamke na kuonyesha utambulisho wake wa Kiislamu. Ni alama ya unyenyekevu na utiifu, na si kifungo bali ni heshima aliyopewa mwanamke na Mola wake.
Ndugu yangu, kauli zako zina uzito mkubwa kwa jamii, hasa kwa vijana wanaokufuatilia. Unapojitambulisha kama Muislamu, watu wengi wanakutazama kama mfano. Hivyo, ni muhimu jitihada zako ziendane na mafundisho ya dini unayoikiri, ili uweze kuwa chanzo cha kheri na mwongozo sahihi kwa wengine.
Barua hii si hukumu wala lawama, bali ni ukumbusho wa upendo na nasaha njema. Sote tuna mapungufu, lakini kilicho muhimu ni kujirekebisha na kurejea katika yaliyo sahihi kadiri tunavyoweza.
Nakuomba utafakari kwa kina juu ya nafasi ya hijab katika maisha ya mwanamke Muislamu, na uchukue hatua stahiki kwa ajili ya radhi za Mwenyezi Mungu na mustakabali wako wa Akhera.
Mwisho, nakutakia kila la kheri, uongofu, na mafanikio katika maisha yako ya dunia na Akhera.
Wassalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh.
Wako katika kheri,
MALARIA 2
EXPERT MEMBER - JF
Ukienda Zanzibar , Pwani wanajifunika mwili mzima lakini MARINDA hawana.mwanamke Muislamu ni suala la hijab, ambayo si vazi tu bali ni ishara ya utiifu kwa Mwenyezi Mungu, heshima, na kujisitiri.
Kama Samia tuUbaweza kuvaa hijabu na ukawa shetani tu