Barua ya wazi kwa mashabiki wa Kenyatta na Agwambo

Barua ya wazi kwa mashabiki wa Kenyatta na Agwambo

Duh! Mkuu we MTz ama Mkenya? Umeamua kukata Jongoo kwa meno!

Thus are non-sense words! Aisifiaye mvua haijamnyea! mtoa mada hana point wala logic yeyote.Na pengine anaendeshwa na hisia za chuki kwa UHURU KENYATA na watu wake, nani mchochezi mwenye taswira yakukosa elimu huyu.Tanzania hutufai.Nakuonya hivyo kwasababu huna mtizamo yambele.Ati Kenya itanyimwa misaada kwasababu ya uhuru kuwa rais.Umezoea omba omba hadi umeathirika nakuomba.This is the point! Nothing is going to happen in kenya as you wished and asked with your allience.The Kenyan have had spoken and they spoken claerly.Either you like or not UHURU KENYATA IS A 4TH PRESIDENT OF KENYA.God bless him, God Bless kenyan and Kenya.Awaepushe na matatizo yanayoletwa na watu wasio itakia mema kenya na watu wake na africa kwa ujumla.Na hasa wanaosujudu nchi za Mangaribi.Mungu ndiye kila kitu na sio Magaribi au kusini
 
Mnaoshabikia ushindi wa Kenyatta, huku mkijua kwamba nchi ya Kenya ipo ndani ya EAC, sijui mnategemea nini? Fahamu kwamba Kenyatta ana kesi ya kujibu ICC na mataifa ya magharibi yalishatangaza kumpa kisogo endapo atashinda urais wa Kenya. Na pia mnapaswa kutambua kwamba ushindi wa Kenyatta umetokana na siasa za ukabila.

Kabila la wakikuyu ndilo kubwa kushinda yote nchini kenya, wakifuatiwa na makabila lukuki ya wakalenjin. Ushindi wa Kenyatta (kwa kutumia kete ya ukabila) ulionekana tangu zamani walipoungana na Ruto kutengeneza kundi moja la Jubilee. Ni wale wasojua ukweli kuhusu siasa za ukabila na ukanda za Kenya ndio wangeweza kudhani kwamba Odinga angeshinda.

Hata hivyo, Agwambo ameonesha ukomavu kwa kushinda kura kutoka karibu maeneo yote ya nchi bila kutegemea ukabila. Inabidi tukubali matokeo kama yalivyo kwani wakenya ndivyo walivyoamua lakini huu uamuzi wao utawa-cost. Watanyimwa misaada na wazungu hadi watakula majani! Kama wameshindwa kusoma alama za nyakati na badala yake wameamua kumuingiza mtuhumiwa ikulu, itakula kwao! Kibaya zaidi ni pale Kenyatta na Ruto watapohukumiwa kufungwa maisha au kunyongwa na ICC! Nchi itabaki bila rais wala makamo wake!

Kwa wale msofahamu vema siasa za Kenya, hebu ona kilichommmaliza odinga ni hiki hapa. Angalia idadi ya wapiga kura wa CENTRAL na RIFT VALLEY:

Region Voter Registration
Central
2,190,477
Coast
1,164,083
Eastern
1,988,475
Nairobi
1,778,903
North Eastern
451,865
Nyanza
1,954,756
Rift Valley
3,373,853
Western
1,434,987

Ni wazi kwamba Ruto ndiye alikuwa kete ya ushindi wa urais kwani mkoa wake wa wakalenjin (Rift Valley) una wapiga kura wa kumwaga. Na karibu nusu ya wapiga kura wametokea Rift valley na Central (the strongholds of the Ocamo two!). Kwa mtaji huu, hata kama Ruto angeamua kujiunga na Martha Karua, lazima Karua angetinga ikulu. Na sio Karua tu, hata angeamua kuungana na Peter Keneth, lazima tu angeshinda urais maana kinachoangaliwa hapo ni UKABILA tu wala sio SERA za mgombea au chama chake!

Wapiga kura ni wachache sana katika maeneo ambayo Odinga anaungwa mkono. Lakini hata hivyo Agwambo amejitahidi sana. Agwambo kubali matokeo muijenge Kenya yenu.
Viva Agwambo!
Haya na nyie watanzania mlokuwa mnashabikia siasa za Kenya (ambazo hazina faida yoyote kwenu), rudisha akili zenu nchini kwenu mkashughulikie matatizo yaliyoigukbika nchi yenu. Bado tatizo la kufeli kwa wanafunzi halijapata ufumbuzi. Pamoja na hili, kuna matatizo lukuki yanayolighubika taifa lenu kama vile majaribio ya kuuwawa kwa wandishi wa habari, Dr Ulimboka, nk. Yote haya ukichanganya na matatizo sugu ya UFISADI, yanatosha kuwafanya kila siku muwe mnatafakari kuhusu mstakabali wa taifa lenu. Sio kuacha kwenu kunaungua, mnakimbilia kwenda kushabikia ugomvi wa jirani usiowahusu. Rudisheni akili zenu nyumbani, nchi yenu ya kifisadi inataeketea! Tafakari, chukua hatua!

Wewe mbona unajisumbua kuleta midata ya Kikenya-Sisi wala hatukuwa na shida na uchaguzi wao yeyote aliyeshinda poa tu kwanza wa nini -Sisi shida yetu ilikuwa kuangalia vurugu zao,jinsi watakuvopigana mikuki nk(live) sio kama kipind kile tulisikia tu redion sasa nadhani tumenoa
 
Back
Top Bottom