Ningekuwa nimebwabwaja usingesoma na kunijibu. Ila umeona hoja. Nikuhakikishie kuwa Tanzania haina CONTROL kwenye Bei za mafuta bali ni nguvu ya soko (supply & demand). Mwaka jana tuli enjoy price ya mafuta hadi Tsh 1560/- kwa lita ya dizeli kwa kuwa shughuli za dunia zilipungua kutokana na COVID19. Demand iliteremkaHapa umebwabwaja tu mkubwa, unapiga propaganda za ujinga wa siasa majitaka za maCCM....
Sijaona hoja yako. Hujui usemalo wala uzungumzalo..
We pimbi, rais anawajibika kufuata vipa umbele vya umma/wananchi, siyo vyake yeye binafsi na kikundi kidogo Cha watu wa chama chakeπ
Kwani ile nafasi amejiweka pale mwenyewe?!!!
Kuna kiasi kikubwa huelewi(na wenzako) nini maana ya katiba na inatakwa kwa nini.Nendeni mbali zaidi bila kudhani ni vitabu tu vyenye maandishi vitachapishwa Kaa ujiulize:Kama ni kitu "chepesi" kwa nini CCM wakatae kuwa na mpya?Think and think and think bigger!π€π€π€π€π€π€CDM wanazingua mama kaanza vizuri hafu hata hyo katiba wanayolilia ndo itabadilisha umaskini,Bora basi wangekuja na kipaumbele Cha kuondoa umaskini na ajira kwa vijana ambao ni wengi kwenye hili taifa. Waje na agenda ya kugusa watu wengi ila blah blah za katiba tu bila kuondoa umaskini it doesn't make sense.
Nakubaliana na mchango wako, lakini mawazo yangu lazima yafike kwa Mbowe. Kuna kitu nakiona kama wamekuwa excited sana baada ya yule DIKTETA kufa na kuja Rais muungwana. Ninachotaka tu wasitumie uungwana wa Rais vibaya wasije wakatugharimuWith all due respect, hii barua yako inatakiwa iishie kwa secretary, haistahili kufika kwa Mbowe.
Mambo mengi uliyoandika unauelewa finyu juu yake, hili andiko lako simply linathibitisha vile wajinga wakiwa wengi kwenye jamii wanaweza kutuchagulia Rais mjinga pia...
Mkuu tuchukulie uko sahihi kuwa cdm wanaharibu siasa za nchi hii, hebu nitajie vyama vinavyoboresha siasa za nchi hii na vipi.Kwahiyo vyama vya siasa KAZI Yao ni kudai mambo Kwa serikali.
Tafsiri mpya hii.
Mimi ninavyoelewa vyama visivyokuwa na Dola kazi yake ni kuonesha mbadala wa Yale yanayofanywa na chama kinachoongoza serikali...
Unless umeingia JF recently Mimi ni kati ya JF members walikuwa wanawasha moto dhidi ya MATAGA na Lumumba Buk7.Wewe ni wa kumwandikia Mbowe barua ya wazi? MATAGA leo ni wa kuishauri Chadema?
Wether they are excited or not, that's not an issue, Chadema wamekuwa wakitumia njia hiyo kudai haki zao toka enzi za Kikwete, then akaja Magufuli, na sasa ni zamu ya Samia, jinsia yake isitumike kama kigezo cha kuwaona wengine wabaya wakidai haki zao, kama hataki kusumbuliwa, atii na kufuata sheria zikiwemo za vyama vya siasa.Nakubaliana na mchango wako, lakini mawazo yangu lazima yafike kwa Mbowe. Kuna kitu nakiona kama wamekuwa excited sana baada ya yule DIKTETA kufa na kuja Rais muungwana. Ninachotaka tu wasitumie uungwana wa Rais vibaya wasije wakatugharimu
Katiba nzuri mpya ni kitu kisichoepukika lazima tuipate siyo kwa hisia za Prof Shivji au Prof KABUDI, au Mbowe au Zitto, ni takwa la wakati.Hapa umebwabwaja tu mkubwa, umepiga propaganda za ujinga wa siasa majitaka za maCCM ukidhani sote ni wajinga kama mlivyo huko....
Sijaona hoja yako. Hujui usemalo wala uzungumzalo...
Nyie ndo mumedaganywa maendeleo yanahusisha vitu vingi pamoja na sera, tunaweza kuwa na katiba nzuri ila bila mikakati ya kujikwamua umaskini ukaendelea kuwepo tuKuna kiasi kikubwa huelewi(na wenzako) nini maana ya katiba na inatakwa kwa nini.Nendeni mbali zaidi bila kudhani ni vitabu tu vyenye maandishi vitachapishwa Kaa ujiulize:Kama ni kitu "chepesi" kwa nini CCM wakatae kuwa na mpya?Think and think and think bigger![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Unahitaji kubatizwa upya.Kamsome CCM music utamuelewa.ππππNyie ndo mumedaganywa maendeleo yanahusisha vitu vingi pamoja na sera, tunaweza kuwa na katiba nzuri ila bila mikakati ya kujikwamua umaskini ukaendelea kuwepo tu
Unaweza kuwa na hoja lakini hata hizo sera kama hazisimamiwi na sheria hamna kinachofanyika. Kwani sasa hatuna sera? Sera tunazo ila sheria zinazosimamia hizo sera ndo zimekuwa kizungumkuti.Nyie ndo mumedaganywa maendeleo yanahusisha vitu vingi pamoja na sera, tunaweza kuwa na katiba nzuri ila bila mikakati ya kujikwamua umaskini ukaendelea kuwepo tu
Unahitaji strategy gani kudai katiba mpya ya wananchi...?Katiba nzuri mpya ni kitu kisichoepukika lazima tuipate siyo kwa hisia za Prof Shivji au Prof KABUDI, au Mbowe au Zitto, ni takwa la wakati.
Ni namna gani au wakati gani mwafaka kupata Katiba hiyo ndiyo panahitaji utulivu.
Tulitumia zaidi ya Tsh 350 Bilion mwaka 2014/5 na tukaletewa Rasimu Feki ya Chenge badala ya ile ya Warioba.
Busara na hekima vinahitajika hapa kuepuka makosa yaliyotokea mwaka 2014/5 kwani kitakachokuja kama Katiba kitakuwa ndiyo mwongozo wa nchi kwa miongo mingi ijayo.
Hizi pressure za CDM na Mbowe za kumsukuma Rais SSH ndani ya siku 100 aanzishe mchakato wa Katiba siyo kwamba tu zimekosa adabu bali hazina muelekeo, hazionyeshi zinataka nini na zinapaswa kudhibitiwa na wana CHADEMA wenye busara.
Sikutegemea wangemleta MDUDE so quickly kwenye majukwaa aanze kuropoka vile dhidi ya Rais wakati akili yake inataka healing ya hali ya juu.
Strategists wa CDM ni nani na wanafanya nini?
Nani kakudanganya wewe.Rais anawajibika kufuata vipa umbele vya umma/wananchi, siyo vyake yeye binafsi na kikundi kidogo Cha watu wa chama chakeπ
Kwani ile nafasi amejiweka pale mwenyewe?!!!
Kwa sababu Chadema wanaamini wao ndio UMMA makundi mengine sio UMMA ndio maana wanadai Rais anatakiwa atekeleze matakwa ya UMMA (i.e. CHADEMA)ππKwa nini mnaizungumzia Chadema tu na sio ACT, TLP, NCCR au CUF ?
Hapana uondoaji umaskini kwa hili taifa ni number one priority katiba tu ka katiba haiwezi ondoa umaskini.Unahitaji kubatizwa upya.Kamsome CCM music utamuelewa.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sawaswa muheshimiwa!Ngoja nikae kimya.ππππHapana uondoaji umaskini kwa hili taifa ni number one priority katiba tu ka katiba haiwezi ondoa umaskini.