Barua ya wazi kwa Mbowe & CHADEMA: Kajipangeni Upya

Huihui2 hongera kwa maono. Ulitoa ushauri huu tarehe 4/ June/ 2021. Mbowe akaupotezea.

Leo yuko Ukonga anasubiri kukabiliana na mashtaka ya ugaidi
 
Eti waandike wanadai nini. Hawa wanachoda ni kushika dola tu wawape mabeberu wanachotaka. Wanatumwa na ubeberu kuchukua dola.
 
Niliandika waraka huu kwa Mbowe tarehe 3/ 07/21 kuna watu wakaniponda. Na Mbowe naye aliupotezea.

Matokeo yake, wiki 2 baadaye akawekwa kwenye mikono salama.

Tusichukuliane poa
 
Laiti Freeman Mbowe angesikia hayo maneno ya busara, pengine saa hizi angekuwa anaongeza wanachama wa CHADEMA kwa kampeni ya "Tunakwenda Kidigitali"
 
Wewe ni wa kumwandikia Mbowe barua ya wazi? MATAGA leo ni wa kuishauri Chadema?
Vipi MKANDAHARI bado una doubt kama Sina status ya kumuandikia barua Mbowe?

Angalia tarehe ya post yangu na yaliyotokea baada ya barua yangu
 
Yametimia sasa



 
Moja ya USHAURI bora sana ambao CHADEMA waliupuuza
 
Turudi tena hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…