Pre GE2025 Barua ya wazi kwa mheshimiwa ex mayor wa ubungo na mwenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtu kama anajiweka mbali kwasababu zake binafsi, muacheni msianze kubembeleza watu kama ni wa muhimu sana. Wakati hawakuwepo, chama kilikuwepo. Anayeona ana maumivu kwa mgombea wake kuangukia pua, akauguze maumivu, wengine msonge mbele. Mimi siwezagi mambo ya kubemebelezana sijui maridhiano, sijui rudi kama mwanzo. Anayetaka siasa akubali kubeba yote.
 
Haiwezekani kampeni zitumike kama njia ya kutukana na kudhalilisha watu afu kirahisi tu, mtu anasema yameisha tusonge mbele. Kwa wanaosema CHADEMA ilikuwa kichaka cha upigaji, mbona ndio wanalamika CHADEMA haina fedha kwa sasa. Kimsingi uchaguzi wa CHADEMA umeipa CCM ushindi wa mezani katika uchaguzi ujao, na zaidi pengine hata akina Boni hawatamani kuendelea na nafasi zao. CCM haina mpinzani kwa miaka ya hivi karibuni.
 
Mwache akazungushe mayai yake kariakoo.

Hakuna mtu mkubwa kuliko chadema.

Ajue tu kwamba Chama kitasimama na kusonga mbele awepo au asiwepo.
 
Haya nenda pale Lumumba ukachukue "afu" kumi yako. Au uweke namba yako ya simu hapa nikutumie fasta.
 
Uchaguzi ulikuwa wa wazi na mshindi alipatikana kihalali yeye akiwa shahidi, arudi ajenge chama.
 
Haya maumivu ni wazi hawa watu walikuwa wamegeuza chama shamba lao la upigaji. Kushindwa kwenye uchaguzi wa kidemokrasia pekee hakuwezi kubeba maumivu makali namna hii.
Una akili na mentality ya kitoto sana hili linathibitisha ile kauli ya Jamaa fulani kuwa Nyerere anaongoza maiti.

Chama cha siasa cha upinzani kukiendesha si lelemama! Kundesha mkutano mkuu mmoja si chini ya milioni 600 hapo inajumuisha kusafirisha wajumbe,kuwalisha,kuwalaza na kuwakirimu kipindi chose cha mkutano ndio maana kuna vyama vinashindwa kufanya mikutano mikuu kisa uhaba wa fedha!!
Kufanya mkutano mkubwa mmoja wa hadhara si chini ya 20M maandalizi na kila kitu. Siasa sio biashara rahisi kama kuuza uchi unavyofikiria.

Chadema inapata ruzuku ya Mil 100 kwa mwezi hebu piga hesabu za kuendesha chama pamoja na harakati zote za kichama halafu ujiulize nini kimeliwa?
Mna fikra za kimalaya malaya na kichawi sana mkihusisha umaskini na kutu iliyowajaa rohoni.
 
Kama kuna watu waliigeuza CDM kuwa Saccos yao ni heri wakikaa kimya ili wale wenye moyo safi na chama wachukue nafasi zao. Kama mnaona kuwa mnahitaji mchango aliokuwa anaotoa bila shaka wako ambao wanaweza kuchukua nafasi yake na kuiendeleza.

Amandla...
 
Ni wazi mna utoto mwingi kwa hizi mentality zenu. Kama watu walifanya chama SACOS ni why now kina Lissu wanaomba michango? Si kuna Ruzuku? Seriously mil 100 ni kitu kwa chama kikubwa kama CDM?

Unaonekana bado mtoto sana we kima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…