Barua ya wazi kwa mkuu wa chuo sokoine na vyuo vyingine vyenye tabia hiyo...

Barua ya wazi kwa mkuu wa chuo sokoine na vyuo vyingine vyenye tabia hiyo...

mbona huku UDSM hamna huo uboya,afu kingine vyuo vyenu hamna unity kabisa,i love UDSM ever
 
mbona huku UDSM hamna huo uboya,afu kingine vyuo vyenu hamna unity kabisa,i love UDSM ever

nadeclare interest mimi nilikuwepo katika lile group lililoongoza mgomo pale UDSM wa kupigania kupandisha bumu na kupigania vijana wapate mkopo kwani vigezo walikuwa navyo na baadae tukafukuzwa....kiukweli kwa sasa mlimani wamebaki maboya kama huyu METAL na rev square imeota majani....vijana wamekuwa waoga sana...mambo hayaendi vuzuri vijana wa udsm wanashindwa kuhoji
 
hivi mm nmechaguliwa hapa UDSM kuja kuandamana au? mm nmekja kupiga kitabu na si kufanya upumbavu wako wa kiboya
 
Hao vijana wa agronomy waliofukuzwa, walifanya kosa gani? Na swala la rais fatilia vyema semester ya tatu alikuwa na ufaulu gani? Kumbuka amekuwa rais semester ya nne ndo kusema alishindwa kupata credit hour 4 ili zitimie 16
 
nadeclare interest mimi nilikuwepo katika lile group lililoongoza mgomo pale UDSM wa kupigania kupandisha bumu na kupigania vijana wapate mkopo kwani vigezo walikuwa navyo na baadae tukafukuzwa....kiukweli kwa sasa mlimani wamebaki maboya kama huyu METAL na rev square imeota majani....vijana wamekuwa waoga sana...mambo hayaendi vuzuri vijana wa udsm wanashindwa kuhoji

Mkuu siku hizi haina haja ya kunji tena ksbu serikali sikivu ya chama inawatimizia wanachuo maitaji yao yote. Si ulimsikia Mwigulu alivyosema bungeni the other time...kwamba tunaanzisha mfuko wa mikopo ya elimu ya juu kureplace board na everything is gonna be okay!
 
hivi mm nmechaguliwa hapa UDSM kuja kuandamana au? mm nmekja kupiga kitabu na si kufanya upumbavu wako wa kiboya

mkuu umejichanganya kuna sehemu umesapoti na hapa unakwepa ndo maana jamaa kakuuliza so ulivomjibu umejichanganya
 
ndugu zangu wanaharakati wenzangu wa kutoka vyuo mbalimbali hapa Tanzania....semister iliyoisha SUA ilifanya uchaguzi na hakika ilipata rais bora aliekubarika sana,lakini kiongozi yule baada ya kuanza kazi na kuwabana viongozi wa chuo..wakaamua kumuondoa tena kwa kumuonea kabisa...ndugu zangu wasomi wa vyuo vikuu vyote freedom squares zote zimekuwa ni kumbi za sherehe na harusi..watu hawakutani tena kujadili maswala mbalimbali kwa hofu iliyojengwa na wapumbavu wachache...vijana siku hizi mmekuwa kimya...rais wa chuo kikuu anafukuzwa tena kwa kuonewa lakini vijana mpo kimya kama hakuna chochote kilichotokea...vijana ilitakiwa mjiunge na muhoji raisi wenu yuko wapi pasipo uoga...naumia sana kwakuwa na kizazi cha watu waoga na wasio hoji...nasikia tena mmeambiwa mtoe 20000 kwa ajili ya medical fees huku mkiwa na vitambulisho vya bima kwa kuwa ni waoga mmeshindwa kuhoji wasomi mnaburuzwa....watu wa agronomy wameondolewa kwa kuonewa kabisa ila kila mtu analake leo kwake kesho kwako..kwanini vijana hamuoji..vijana mmekuwaje sasa hivi.......

tell my people that i love them very much my blood and tears will nourish the trees that will bear fruits of freedom.......:teeth:

Acheni porojo, President kadisco. Ukiwa mdhaifu kitaaluma hutakiwi kujiingiza kwenye siasa za chuo....., Kwani Gillah anasahihisha mitihani? Leteni ishu za maana
 
Acheni porojo, President kadisco. Ukiwa mdhaifu kitaaluma hutakiwi kujiingiza kwenye siasa za chuo....., Kwani Gillah anasahihisha mitihani? Leteni ishu za maana

kaka kuwa gt tafadhali!

inaonekana wewe siasa huzijui!

chuoni hamna necta kumbuka. kama wakiamua kukufelisha wanafanya hivyo sababu hamna wa kuhoji!

sasa kama mtu anaappeal still anakataliwa unategemea nini?
 
Mwenyewe nlishangaa kwa kilichotokea na niaibu kwa chuo.
Inabdi kitu kifanyike......
 
Sielewi hata kidogo. Kwani hizi Students Society kwenye Higher Learning Institutuions si zinaundwa kisheria kutokana na Regulations za Chuo husika? Au ni favor wanayofanyiwa wanafunzi? Budget yao inatoka wapi? Kama inatokana na students fees, kwa nini Uongozi wa Chuo unaingilia masuala ya Students Body? Sehemu zote nilizopitia nimeona kwamba The General Assembly ya Wanafunzi ndio huchaguo viongozi wao. Sasa sielewi hapa inakuwaje. Kama budget ya Students Association inatolewa na Chuo, basi mekwenda na maji. Kumbukeni: He Who Has The Money Has The Power. Kubalini mkatwe shilingi 20 au zaidi kutoka kwenye Tuition Fees zenu kwa ajili ya Students Association, vinginevyo, mtaendelea kupigwa Ma- JKT Mafinger:A S 39: mpaka mshike adabu.:frusty::frusty:
 
hivi mm nmechaguliwa hapa UDSM kuja kuandamana au? mm nmekja kupiga kitabu na si kufanya upumbavu wako wa kiboya

ww ni mjinga tena zaidi ya ujinga.....endelea kubaki na huo ujinga wako..
 
Back
Top Bottom