Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makala juu ya Panya Road na namna ya kuwatokomezaa pasipo kujirudia

Lazima Hawa vibaka waonyeshwe gharama ya matendo yao
Kulinda raia na mali zake__polisi ___wameshindwa?????mm hatasishangai sababu hata kumpakazia mtu kesi ni kawAida kwao ushauri wangu kwa jeshi la polisi mkoa wasiishie kwenye vyombo vya habari wazagae mtaani sio lazima wawepo juu ya gari hata kwa miguu wawepo mda wote kuanzia mda wa shift ya jioni,....
 
Sera mbovu za Ujamaa zilizoletwa na Nyerere zimeharibu uchumi. Vijana wamekata tamaa na maisha.
 
Ongeza na hili
Polisi wasipite njia kubwa tu ( barabara za lami) wanapokuwa doria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…