Nimekupm hata hujanijibu ila wewe...Pole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.
Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.
Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo itanipa ujasiri wa kumface mlengwa au kupata utaalum wa kumvuta aje mwenyewe.
Naamini nimefanikiwa.
Wasalaaam,
ndimi moniccca!
Monicca ww... una vituko jmn...Pole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.
Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.
Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo itanipa ujasiri wa kumface mlengwa au kupata utaalum wa kumvuta aje mwenyewe.
Naamini nimefanikiwa.
Wasalaaam,
ndimi moniccca!
Mshana jivutie kwako....
Mfano akija alafu mkionana akawa tofauti na picha ulioijenga kichwan itakuaje? utaleta mrejesho jf?Pole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.
Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.
Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo itanipa ujasiri wa kumface mlengwa au kupata utaalum wa kumvuta aje mwenyewe.
Naamini nimefanikiwa.
Wasalaaam,
ndimi moniccca!
Sasa monica,si umtaje tu mtu huyo ili nasi tukusaidie..au ni mm bibiye??Siku hizi tunaongelea hadharani...sema shida yako
....Mshana jivutie kwako....