Barua ya wazi kwa mshana Jr

Mzembe kweli ww...
 
Hili nalo neno, Inawezekana ndo maana mshana hachangamkii fursa
... May be jamaa bado anafanya kazi ya magufuli.....c mnajua tena uzembe kazini hahutakiwi as..."hapa kazi tuu".....xo m nahisi weekend atatupa mapigo............oyaaaaa brother mshana jr...aseeeee imekuja yenyew iyooooo
 
Mshana bora uje kwangu[emoji276]
Hivi alie muanzishia uzi KikulachoChako na nini? Kama wataka kugonganisha magari vile itabidi nikae na mzee mwenzangu KikulachoChako tuseme kidogo maana nahisi kama mambo yapo halijojo.
 
Hivi alie muanzishia uzi KikulachoChako na nini? Kama wataka kugonganisha magari vile itabidi nikae na mzee mwenzangu KikulachoChako tuseme kidogo maana nahisi kama mambo yapo halijojo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…