Barua ya wazi kwa mshana Jr

Huyu demu anayejiita Moniccca ana kipi cha ziada?
Mbona mnampapatikia hivi?
[emoji12] au ana qumer ya dhahabu ili na mimi niunge tela?

Wangejua kama jina halisi la Monicca ni Mwakibo** from Mbeya,maeneo ya Forest.

Kwanza ni mnene,pili ni mweusi(sio black beauty) siunajua baridi la mbeya lilivyo na makusudi.

Alikulia chuga so anameno ya rangi rangi.

Endeleeni tu kupapatikia avatar na comments.
 
Yani nikionaga mada zake huwa nampuuza na kupita zangu kushoto.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3]
 
Hivi alie muanzishia uzi KikulachoChako na nini? Kama wataka kugonganisha magari vile itabidi nikae na mzee mwenzangu KikulachoChako tuseme kidogo maana nahisi kama mambo yapo halijojo.
Kwani kumwanzishia mtu uzi manake nini????
 
Umenchomesha mahindi,nimekusubiri sanaaa hujaja mfyuuu[emoji78]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…