Mmmm nimegundua ni mm bahati mbaya nina mke na watoto timu ya Basketball.Kama kawaida mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kweli ni ngumu mwanaume kumface mwanaume mwenzake na kumuambia anataka kugegedwa.
Shan mambo nvp?acha kuteseka mfate tu pm au mtaje tu kabisa ajue
ha ha ha ha ha ha haKweli ni ngumu mwanaume kumface mwanaume mwenzake na kumuambia anataka kugegedwa.
Ww jamaa nimecheka sana man city vs man u.Hizi ndio nyuzi za kutupa ubize wakati tunasuburia game za usiku leo.
kwahyo monicca ni mwanaumeKweli ni ngumu mwanaume kumface mwanaume mwenzake na kumuambia anataka kugegedwa.
poa za wwShan mambo nvp?
Ha ha ha The Boss, nakusalimu...Hiyo avatar menye mali kairuhusu?..au ndo anaisoma namba?
Mnhhhh....sio kwa avatar hiyo dahhhh....na mie naomba kizizi kwa mshana....ka mbway na iwe mbway banaaa....mzuri mpaka unakeraaaaMshana jivutie kwako....
Kumbe inawezekana enheee? Basi nisubirie pm kwako najaaaaaaa. ...acha kuteseka mfate tu pm au mtaje tu kabisa ajue
Hahahahhhahaha,...haya bwanaPole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.
Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.
Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo itanipa ujasiri wa kumface mlengwa au kupata utaalum wa kumvuta aje mwenyewe.
Naamini nimefanikiwa.
Wasalaaam,
ndimi moniccca!