Barua ya wazi kwa mshana Jr

Barua ya wazi kwa mshana Jr

Una Tsh . ngapi? tuongee !
Ila gharama ya zote utagharamia(ungo, mitishamba,tiba ,)
 
Pole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.

Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.

Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo itanipa ujasiri wa kumface mlengwa au kupata utaalum wa kumvuta aje mwenyewe.

Naamini nimefanikiwa.

Wasalaaam,

ndimi moniccca!
Hahahahhhahaha,...haya bwana
 
Back
Top Bottom