😀😀😀mnapanda bombadia matunguli hamtatunguliwa
Duh! yaani dawa inapelekwa na mpini? inaonekana matunge wengi (waganga )wanakula sana mbunye kwa style hii duniani kuna mambomshana jr mzgo huo umekuja kwa dr jitahid mpe na masharti ya kulala na mganga
Mbuzi kafia kwa muuza supu?mshana jr mzgo huo umekuja kwa dr jitahid mpe na masharti ya kulala na mganga
Pole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.
Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.
Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo itanipa ujasiri wa kumface mlengwa au kupata utaalum wa kumvuta aje mwenyewe.
Naamini nimefanikiwa.
Wasalaaam,
ndimi moniccca!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbuzi kafia kwa muuza supu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbuzi kafia kwa muuza supu?
Acha zambi mungu anakuona ujueKwa maisha magumu MPE pesa tu
Rizki kitako hiyo umekaa kibarazani unaperuzi peruzi huna hili wala lile mara. ..shughulika nayo hiyo la kwako hilo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kaka [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Habari za siku tele Teacher, naona sasa si mtoto tena umekua na kuwa binti mrembo. Sijui nilete ng'ombe wangapi?Mshana jivutie kwako....
Really? Hujambo shuni?acha kuteseka mfate tu pm au mtaje tu kabisa ajue
Nzuri sana, Anza kwa kumsomesha, mahari tutapunguziana usijaliHabari za siku tele Teacher, naona sasa si mtoto tena umekua na kuwa binti mrembo. Sijui nilete ng'ombe wangapi?
Umenikumbusha kitu cha maana sana, ngoja nimtafutie shule yenye hadhi yake.Nzuri sana, Anza kwa kumsomesha, mahari tutapunguziana usijali
sijambo fakalava na ww kama kuna mtu anakusumbua mwambie tuReally? Hujambo shuni?
Mzee ukitaka mazuri lazima ujitume. Hayo masharti yanatakiwa yafuatwe kituo kwa kituo. Msimkatishe tamaa monicca, ngoja atekeleze halafu atatupa mrejesho nyumaHaya masharti duh[emoji15]
Hakuna yaliyo rahisi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nakweli,..ila kwa monicca sijui kama ataweza,...Mzee ukitaka mazuri lazima ujitume. Hayo masharti yanatakiwa yafuatwe kituo kwa kituo. Msimkatishe tamaa monicca, ngoja atekeleze halafu atatupa mrejesho nyuma