Barua ya wazi kwa mshana Jr

Barua ya wazi kwa mshana Jr

Pole kwa majukumu ndug. Mshana Jr.

Nakuandikia maandiko haya kufuatia hali yangu kuwa taabani kwa mmoja wa members wa jukwaa la MMU.

Lengo la maandiko haya nikukutaka unipatie mitishamba ambayo itanipa ujasiri wa kumface mlengwa au kupata utaalum wa kumvuta aje mwenyewe.

Naamini nimefanikiwa.

Wasalaaam,

ndimi moniccca!

MSHANA GWEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
NGOMA INOGILEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Kweli nimeamini "Kwenye miti hakuna wajenzi" [emoji1] [emoji1] . Na mimi ngoja nianze kujifundisha kazi ya uganga tu hakuna jinsi[emoji125]
 
Kwa maisha magumu MPE pesa tu
85ea234b0bc8fb7f4d8c6facaf1d4cd1.jpg
Acha zambi mungu anakuona ujue
 
Hata uninywie miti shamba, uoge kwa shubiri ya Kantalamba, Ufukize uvumba na ubani. Hutonipata Ng'oo.
 
Haya masharti duh[emoji15]
Hakuna yaliyo rahisi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mzee ukitaka mazuri lazima ujitume. Hayo masharti yanatakiwa yafuatwe kituo kwa kituo. Msimkatishe tamaa monicca, ngoja atekeleze halafu atatupa mrejesho nyuma
 
Mzee ukitaka mazuri lazima ujitume. Hayo masharti yanatakiwa yafuatwe kituo kwa kituo. Msimkatishe tamaa monicca, ngoja atekeleze halafu atatupa mrejesho nyuma
Nakweli,..ila kwa monicca sijui kama ataweza,...
 
Back
Top Bottom