TagawaCarlos
Member
- Jul 26, 2023
- 15
- 31
Genge la 2 AkilizBarba tena
UTOPOLO Ni genge la wahuni
Inawauma hiii...ohoo
Ujinga kutoka kwa mjinga nao Ni hoja?
Wewe Ni mgeni humu. Utopolo wanajulikana siku zote.
Tutakaaa humu kujibu hoja za kijinga za kishabiki maandazi.
Na ww mjinga mmetumana wapuuzi nyie kila saaa Simba Simba , si mkajadili litimu lenu huko?
Kumbafu!
Akili zako Ni za mkataba wa bandari. Kukurupuka.Sio Barabara ni Haji Manara
Wapi nimesema!Kwa hiyo huu uzi ni wa kwako peke yako?
MalikunduweeAkili zako Ni za mkataba wa bandari. Kukurupuka.
Umejitukana! Sababu we pekee ndio unajua ulichoandika! Akili ndogo!Malikunduwee
Siyo kuwashtua mm Ni shabiki wa Simba. Na lazima tuseme mapema. Ni Mambo ambayo yanarekebishika.Usiwasitue waache tu
Makolo tabia yao ya ubishi kama watani wangu waha.
Mwisho wa msimu wataanza kulalamika ati waamuzi wanapendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi. Lkn kumbuka Kuna kucheza na mtibwa au Dodoma jiji na kuchezaSuper League na Mamelod au Widady. Mambo hayatakuwa Sawa.Hivi inakuwaje timu inashinda, halafu mashabiki wake hawana furaha! Kutwa ni malalamiko.
Mlimtaka Moses Phiri acheze! Kocha amewasikiliza, na mpaka sasa anacheza na kufunga magoli! Lakini bado mashabiki kutwa ni kulialia tu.
Timu imecheza mechi mbili, na zote imeshinda! Lakini bado ni malalamiko tu. Timu imechukua Ngao ya Jamii, lakini mashabiki ni vilio tu!! Hivi shida iko wapi hasa!!
Kwa nini msijifunze kwa mashabiki wenzenu wa Yanga!! Huwa tunakosoa wakati wa mchezo tu. Baada ya hapo, tunakiwa busy na mambo mengine.
Ulikuwa ume "hibernate"?BARUA YA WAZI KWA MTENDAJI MKUU WA KLABU YA SIMBA
Kwako Barbara Gonzalez
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba.
Kwa heshima kubwa nakuandikia barua hii nikiwa na uchungu na masikitiko makubwa sana kutokana na makosa yanayojirudiarudia kwa wachezaji wa Simba wanapokuwa uwanjani.
Ukikua utaacha ujingaKwako Barbara Gonzalez
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba
Shikamooo/mambo!!Ulikuwa ume "hibernate"?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi inakuwaje timu inashinda, halafu mashabiki wake hawana furaha! Kutwa ni malalamiko.