Barua ya wazi kwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba

Barua ya wazi kwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba

Wakati wengine tulipokuwa tunampambania Phiri halafu tukawa tunaonekana vidomodomo na wachochezi tuliona athari zitakazokuja kutokea mbele na mojawapo ni hii.

Wachezaji wakiona mwenzao alipoumia, either timu haikumuhudumia ipasavyo au alipopona haikuonekana kumthamini tena, wenzake lazima wataanza kucheza kwa tahadhari zaidi.

Haina tofauti sana na kwenye mambo ya kijeshi. Kuna jeshi kama la Marekani wana sera inayosema "No man is left behind". Maana yake lolote litakalotokea katika vita au operation, hawamuachi mwenzao nyuma akiwa mzima, ametekwa, majeruhi au hata akiwa amekufa. Hii inasaidia wengine wapambane wakijua lolote litakalowakuta hawatatelekezwa.
 
Ujinga kutoka kwa mjinga nao Ni hoja?

Wewe Ni mgeni humu. Utopolo wanajulikana siku zote.

Tutakaaa humu kujibu hoja za kijinga za kishabiki maandazi.

Na ww mjinga mmetumana wapuuzi nyie kila saaa Simba Simba , si mkajadili litimu lenu huko?

Kumbafu!
 
Tunasubiri Mambo yakishaenda mrama ndiyo tuanze kusema kocha hafai, Mara oooh timu mbovu.

Lazima tupige kelele mapema ili wachezaji wajue wako pale Simba kuipambania brand ya Simba.

Simba tuna kikosi ambacho hakuna wakutufunga ktk ligi hii. Labda Azam na Utopolo wabahatishe droo. Na Uto tutaanzia pale tulipoishia.

Nb: Hivi mnaikumbuka Simba ya Mgunda? Robert hi ni kochamzuri Sana lkn lazima wachezaji wajitoe.

Nani alifanikiwa Kwasababu wachezaji walikua na spiriti ya Hali ya juu ya upambanaji.

Sawa Yanga vs kmc magoli yalikuwa mdebwedo. Lkn je mechi yasimba na Dodoma tofauti Ni ipi. Tulikosa zaidi ya goli 4 za wazi kabisa.

LAZIMA WACHEZAJI WAJITOE IPASAVYO NA KWA NGUVU ZOTE.
 
Usiwasitue waache tu

Makolo tabia yao ya ubishi kama watani wangu waha.

Mwisho wa msimu wataanza kulalamika ati waamuzi wanapendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kuwashtua mm Ni shabiki wa Simba. Na lazima tuseme mapema. Ni Mambo ambayo yanarekebishika.

Siyo kusubiri uje umfunge Mtu goli 7 wakati wengine washanyanyua kwapa.
 
Hivi inakuwaje timu inashinda, halafu mashabiki wake hawana furaha! Kutwa ni malalamiko.

Mlimtaka Moses Phiri acheze! Kocha amewasikiliza, na mpaka sasa anacheza na kufunga magoli! Lakini bado mashabiki kutwa ni kulialia tu.

Timu imecheza mechi mbili, na zote imeshinda! Lakini bado ni malalamiko tu. Timu imechukua Ngao ya Jamii, lakini mashabiki ni vilio tu!! Hivi shida iko wapi hasa!!

Kwa nini msijifunze kwa mashabiki wenzenu wa Yanga!! Huwa tunakosoa wakati wa mchezo tu. Baada ya hapo, tunakiwa busy na mambo mengine.
 
Uko sahihi. Lkn kumbuka Kuna kucheza na mtibwa au Dodoma jiji na kuchezaSuper League na Mamelod au Widady. Mambo hayatakuwa Sawa.

Kuna mechi km hizi halafu Kuna mechi kubwa na timu kubwa na yenye upinzani pengine kukuzidi.

Case study ni mechi ya Ngao ya Jamii na UTOPOLO. Simba ilistruggle sana. Hatikucheza mpira muda mwingi Bali kuzuia.

Mashambulizi yanafika golini katikatk au kupitia kwenye winga. Ukikutana na timu kubwa Ni kuadhibiwa tu hamna namna.

Kushinda mechi inategemea pia unacheza na timu ya kiwango gani.

NB:
Ukweli mchungu Ni Kwamba UTOPOLO wachezaji wanajitoa Sana. Spiriti ya upambanaji unaiona kabisa. Wanavuja jasho haswa!

Tunaongea haya ili baadae tusianze kulaumu na kubaki kushinda goli 6 wakati ubingwa ulishaenda. Ujinga!

Tuzibe ufa mapema, ligi ikiwa bado mbichi ili tuende jino kwa jino na Uto.
 
BARUA YA WAZI KWA MTENDAJI MKUU WA KLABU YA SIMBA

Kwako Barbara Gonzalez
Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba.

Kwa heshima kubwa nakuandikia barua hii nikiwa na uchungu na masikitiko makubwa sana kutokana na makosa yanayojirudiarudia kwa wachezaji wa Simba wanapokuwa uwanjani.
Ulikuwa ume "hibernate"?
 
Hivi inakuwaje timu inashinda, halafu mashabiki wake hawana furaha! Kutwa ni malalamiko.

Mlimtaka Moses Phiri acheze! Kocha amewasikiliza, na mpaka sasa anacheza na kufunga magoli! Lakini bado mashabiki kutwa ni kulialia tu.

Timu imecheza mechi mbili, na zote imeshinda! Lakini bado ni malalamiko tu. Timu imechukua Ngao ya Jamii, lakini mashabiki ni vilio tu!! Hivi shida iko wapi hasa!!

Kwa nini msijifunze kwa mashabiki wenzenu wa Yanga!! Huwa tunakosoa wakati wa mchezo tu. Baada ya hapo, tunakiwa busy na mambo mengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo unataka mechi nzima simba ndo wawe na mpira??

Unaleta hisia kwenye game, utajiua shauri yako
 
Mmh hivi babra ni mtendaji mkuu simba sc? Au ni mimi ndio nipo nje ya muda
 
Back
Top Bottom