Dear Mwl,tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika:
siku hizi mlima kilimanjaro upo Kenya,Ziwa Nyasa liko Malawi,Tanzanite iko Kenya,Tanesco ni ya mtu binafsi,pia Rais wetu siku hizi anaishi Airport.
Mwl huku historia imebadilika kuwa Tanzania imetokana na visiwa vya Pemba,Unguja na Zimbabwe.Mwl huku hali si shwari kwani mwanafunzi anahitimu darasa la saba hajui kusoma wala kuandika na anafauru mtihani,Mwl Huwezi kuangalia TV mpaka uwe na King'amuzi.
Mwl baada ya wanafunzi kufeli sana mwaka jana (2012) serikali imekuja na mpamgo mpya wa kunusuru waliofeli kwa
kutumia viwango vifuatavyo.
A=40% - 100%
B=20% - 39%
C=10% -19%
D=3% - 9%
F=2% - 2%
Mwl kwa kweli tunakukumbuka sana (R.I.P)