Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Ndio maana nikasema huyu anajua ana wajinga wengi humu mitandaoni, ndio maana kila anapoamka anafikiria kuandika lolote akijua kuwa kuna wajinga wataungana nae.Ben saa8 ilikuwaje????
Nae alikuwa anaongea hivi hivi kuwa anatishwa.
So mwache mdude achukue tahadhari.
So hebu fikiria kuwa na wew upo katika kundi la wajinga wake anaejua kuwa watakubali chochote atachoandika, au upo kwenye kundi la watu makini kama mimi ambao tunaamini mtu mwenye nia ya kukuua hawezi kukupa taarifa ya nia yake maana anajua utapopata taarifa utakuwa makini na lengo lake la kukuua litafeli.
Ben na yeye alitaka kutumia siasa uchwara kama huyu kwa kujifanya anatafutwa auawe, matokeo yake watu wengine wanatumia fursa hiyo kummaliza kwa kujua kwamba jumba bovu litawaangukia wale waliokuwa wanatajwa na marehem.
Unaweza kugombana na mtu ukamwambia kwa hasira kuwa popote nitapokuona nita deal na wewe. Wakati wewe umeongea pengine kwa hasira bila kumaanisha, lkn hapo hapo wanaweza kutokea wabaya wake na yule uliegombana nae wakatumia maneno yako kama fursa ya wao kufanya mauaji yake wakiamini kuwa kesi ya mauaji utakuangukia wewe ulieahidi ku deal nae popote utapokutana nae.
Ndiomaana wenye akili tunaamini kuwa muuaji anaekuwinda akuue huwa hakupi taarifa. Bali hukuvizia kimya kimya ili iwe rahisi kukupata na kukumaliza bila wewe mwenyew kujua kama ulikuwa unawindwa uuwawe. Nafikiri uliona mzee Kibao alivyotafutwa kimya kimya na kumalizwa kimya kimya bila yeye mwenyewe wala familia yake kuwa na taarifa yoyote.